Naomba makadirio ya idadi ya mbao za kuezeka hii nyumba. Ukubwa wa nyumba ni upana mita 11 urefu mita 14, design ya paa ni kama inavyoonekana kwenye picha.View attachment 1252868
2 by 6 zinatumika wapi mkuu,kuna fundi kaniambia 2*3 na 2*4 ndio zitahitajika