Makadirio ya mbao za kuezekea

Makadirio ya mbao za kuezekea

Negemu

Senior Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
136
Reaction score
138
Naomba makadirio ya idadi ya mbao za kuezeka hii nyumba. Ukubwa wa nyumba ni upana mita 11 urefu mita 14, design ya paa ni kama inavyoonekana kwenye picha.
IMG_20191103_152144.jpeg
 
Hongera kwa kufika hapo mkuu. Wakati wajuzi wanakujibu, pia watoe mawazo ya design za paa zinazo chukua mbao chache.
 
Back
Top Bottom