Makadirio ya nyumba hii

Makadirio ya nyumba hii

Douvir N

Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
51
Reaction score
176
Habari wakuu, Samahani naomba kujua makadirio ya ujenzi wa nyumba hii ya kuishi, Natarajia kuanza ujenzi mwishoni mwa mwaka huu.

Eneo la uwanja ni Sqm 700

Kiwanja kipo Mbeya Mjini.

Screenshot_2023-10-01-17-13-08.jpg
 
Back
Top Bottom