The Giant JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 504 Reaction score 96 Aug 29, 2013 #1 Hivi TRA wanawezaje kukadiria kodi kulingana na biashara yako? Utajuaje kam wanakuumiza sana au la? Na kama ni start-up, wataanzaje kunikata kodi na huku mapato yangu siyajui? Am waiting for your response....
Hivi TRA wanawezaje kukadiria kodi kulingana na biashara yako? Utajuaje kam wanakuumiza sana au la? Na kama ni start-up, wataanzaje kunikata kodi na huku mapato yangu siyajui? Am waiting for your response....