Makadirio ya TRA kwenye Biashara

Makadirio ya TRA kwenye Biashara

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Hivi TRA wanawezaje kukadiria kodi kulingana na biashara yako?
Utajuaje kam wanakuumiza sana au la?
Na kama ni start-up, wataanzaje kunikata kodi na huku mapato yangu siyajui?
Am waiting for your response....
 
Back
Top Bottom