Makadirio ya ujenzi

Makadirio ya ujenzi

Weka gharama hapa mwingine anaweza kuvutiwa na Bei zako, afu mtoa mada sio mzoefu anataka uweke gharama hapa ili ukileta ukanjanja tukupopoe
Mfano kama unauza magari, mimi nikaja kukuuliza gari unauzaje, utaweza kunipa jibu direct bila kuniuliza maswali kama aina ya gari, used/mpya, n.k? Ndio mana nikasema bei inategemea na ukubwa wa nyumba, nyumba ya vyumba viwili inaweza ikawa kubwa kuliko nyumba ya vyumba vitatu n.k

Kingine ni kwamba nikikutajia hiyo bei haimaanishi kwamba sitokusikiliza pesa uliyokuwa nayo..tunasaidiana tu, sio bei za kukomoana na ndio mana kuna muda mwingine nikiamkaga vizuri huwa natoa makadirio free of charge (pitia comment zangu nyingi utaona nimechangia michango mingi tu ambayo kwa mtu mwingine ni lazima akuchaji pesa ndipo akupatie hayo makadirio)
 
Basi boss yaishe.
 
Back
Top Bottom