Makahaba huzinusuru ndoa zenu!

dahhhh, sio wote bana....ushawahi msoma mbu aki advocate mambo haya?
mimi situmii shortcuts kwenye maisha...

Kweli kaka angu, katika hao wadhaifu wewe sio mmoja wao, kama unachoandikaga humu jf ndio maisha yako halisi unastahili pongezi za dhati, katika watu ambao huwa nahisi wamebarikiwa kiupeo humu jf ni wewe na MJ1, nawapenda sana na napenda sana michango yenu humu jamvini... Mungu awabariki sana!
 
hahah mkuu haumtendei haki wife wako kabisa..
 
Ni fikra zako potofu tu, si kila mtu anajipooza kwa kahaba! Wengine mabeki tatu, wake za wenzao, masekretary,watoto wa wenzao n.k. Kama we unapenda makahaba usidhani Ni kila mtu.

yaani wewe ndio kiazi kabisa tena kisichoiva, mweeeeeee!
 
hii kitu udhaifu mbona wadada wengi sana mnaitumia kwa wanaume? hivi hiyo ni udhaifu au ukakamavu wa mwili.
 
wanajijua wenyewe madam.
 
@MJ1......... Ahsante mwanangu kwa kukubaliana na mimi, maana nilikuwa nasubiri changamoto yako kwa shauku kweli................Kuhusu upande wa wanawake labda mnisaidie kujibu, maana mie nilidadavua upande wa wanaume tu..............

kwa spidi hii ya uandishi, wallahi mgonjwa kapona
 
kwa spidi hii ya uandishi, wallahi mgonjwa kapona

Mgonjwa hajapona Ndyoko, bali anaendelea vizuri.
Hapa najiandaa kwenda kutoa nyuzi za Operation hapo Regency Hospital.......................
 
Mgonjwa hajapona Ndyoko, bali anaendelea vizuri.
Hapa najiandaa kwenda kutoa nyuzi za Operation hapo Regency Hospital.......................

Hope ulifata ushauri wa yule mlevi la sivyo hutapona. LOL!
 
Hope ulifata ushauri wa yule mlevi la sivyo hutapona. LOL!

ule ushauri mpaka leo unanitesa, huwa natamani, lakini ile sauti ya mlevi huwa inanijia kila mara.
Huu mkono na upone haraka, niondokane na kadhia hii..................
 
Hivi ukifika kwa kahaba unaanza kumwambiaje vile?
 
kWANI UNAFIKIRI MKEO ANAPONEA MAJI YA MOT !
AWEZA CHUKUA RAFIKI YAKO ,MDOGO /KAKAKO HATA BABA JIRANI NAE JIONI AKUCHEKI ANAKUPANDISHA NA KUKUSHUSHA TU ,ACHEZA NA WANAWE

hahah mkuu haumtendei haki wife wako kabisa..

na wife hamtendei haki jamaaa kwa kumfanya aihangaikie hiyo huduma na kumdhalilisha kwa kuikosa; hivi umeoa lakini unaelewa kunyimwa na mkeo inakera na kuudhi kiasi gani?
 
Mtambuzi kweli wewe uko shalo, kwa hiyo wewe unaona kuuana kwa kutumia visu tu? Na huku tunakouana na VVU je!? Mi naona vifo vya VVU ni vingi kuliko hivi vya kuchinjana, hebu rudi field tena uje vizuri zaidi.
 
We nawe, wakati mwingine unakuwa mgumu kunielewa.................. Hivi ni nani alikwambia wanaume wanaenda kwa makahaba pekupeku? Kuna Kondom mama!!!!
Elewa kwamba sijazungumzia nyumba ndogo, nimezungumzia wale wa chapchap.............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…