MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Who will fund it?
Je, Serikali ya Uganda ndio imebadili msimamo wa bomba la mafuta ?
Baada ya taarifa za kuhusu kusimama mradi wa bomba la mafuta kutoka Uganda mpaka Tanga - Tanzania kuna dalili zinayoenyesha serikali ya Uganda imebadili msimamo wake kuhusu mradi huu. Kwasasa serikali ya Uganda na Kenya zimeingia makubaliano makubwa za kibiashara 1. Kuna mpango wa kujenga reli...