Katibu wa Siasa, Itikadi, uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Amos Makalla akivishwa vazi la uchifu la kabila la Wahehe akiwa Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa.
Makala yupo Mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi akitokea Mkoani Mbeya, leo amefanya Mkutano Wilayani Mufindi huku kesho Machi 29, 2025 akitarajiwa kufanya Mkutano katika Uwanja wa Mwembetogwa Manispaa ya Iringa.