Makala champion: Diamond anavyoandaa sherehe ya siku ya kifo chake

Tayari globo wameshaanza vita ya kumuandama na kummaliza Diamond,jukiona hivyo ujue kagoma kupiga Darlive

Mkuu nimewaza kama wewe, huku kwa magazeti ya Shigongo kumwandama sio bure.
 
Siku mkinipa habari hata moja iliyoandikwa na magazeti ya shigongo kuhusu msanii na imemwandika kwa positive way basi nahama tanzania maana jamaa ni kuchafua tu
 
SalehAlly nazani vitu vingi havijui, yeye mwenyewe hajielewi, Kwani wimbo wa "Make me sing" ni wa Diamond, Diamond kashilikishwa.. SaleHAlly naona ni bure kabisa..

Eti gazeti la champion litaishi milele Kwani, Kuna kampuni ngapi za magazeti zimekufa, kwanza waandishi wengi ni copy and paste au kutafsiri habari tu

Eti anajifanya kumpa ushauri diamond angebadili rangi ya Mbwa, wakati ata angebadili bado angesema.. Mbona watu wamebadilika na bado umeandika

Vyuo vya buguruni hivi... Pro Ndalichako havifute tu
 
shindwa Katika jina la Bwana
maelezo marefu
kutupofusha
hata akiiga
sisi tunampemda[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

long live diamond platnumz[emoji7][emoji7]
 
Diamond platnumz ni super star Mkubwa kuliko yyt hapa tz na ea kwa ujumla na ndio maana kila anachokifanya lzm wakichungumzie na wafungue thread, Kuna mtu hapa hapa Tanzania kakopi SAME GIRL ya R KELLY FT USHER hata kumzungumzia hawajamzungumzia, ila mondi mpaka makala wamemuandikia.
 
huyo ndio saleh ally niliacha kusoma gazeti la champion baada ya kuona habari zote anaandika yeye makala yeye
ana uwezo gani gazeti linatoka karibu mara tatu kwa wiki muandishi ni mmoja

shigongo muhamishie kwenye udaku huyu jamaa

Huyo kiboko yake Edo Kumwembe....
 
Bye bye diamond welcome barakah da prince chukua kiti kaa tulia #prince barakah
 
Eeeeh nilifikiri sitakutana na uzi huu tena, na nimejikuta sikaweza kusoma ma ududu yanayotungwa tena sasa hivi...hivyo napita mtakufa nyie tena mnaoyaandika na kusapoti awazike yeye kwanza. Wivu.com
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…