Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chinekeee
Tayari globo wameshaanza vita ya kumuandama na kummaliza Diamond,jukiona hivyo ujue kagoma kupiga Darlive
Umewaona wajanja kwa kuwa wamefukunyua upande uliopendezwa nao, basi chukua na hii kisha endelea kusherehekea ufukunyuzi.
huyo ndio saleh ally niliacha kusoma gazeti la champion baada ya kuona habari zote anaandika yeye makala yeye
ana uwezo gani gazeti linatoka karibu mara tatu kwa wiki muandishi ni mmoja
shigongo muhamishie kwenye udaku huyu jamaa
alaaaaaa kumbe??Hata wimbo wa utanipenda uliigwa kutoka wimbo wa would u still love me the same wa rock city ft adam levine
Mwenye akili hafikirii teams, ila anajali maendeleo yake na familia yake... Mond mwenyewe ana deal na msisha yake na cyo teamshuwezi kuwa na akili ukawa teammond
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtani upo? Kwani king hajachukua kiti bado hadi mnataka mmpe baraka De prince?Bye bye diamond welcome barakah da prince chukua kiti kaa tulia #prince barakah
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwandishi wa hili gazeti ni kil.aza tu lakini anajifanya too much know. Eti asiwafanye watanzania wote wajinga... Kivipi? Msanii kafanya kazi yake, hata kama kakopi kama unavyosema, wewe hadhira take it or leave it. Sasa unalia lia kawafanya watanzania wote wajinga hawajui Marekani, sijui kama huko sawa kichwani. Wanaowafanya watanzania wajinga ni wanasiasa, viongozi na serikali yao, sio hawa wacheza kiduku. Kenge we!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nafwaaaaalaaaaaa kumbe??
Makubwa kiti kumbe sio cha king tena, na kufuta kote vumbi?Bye bye diamond welcome barakah da prince chukua kiti kaa tulia #prince barakah