Mbahili
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 281
- 525
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri wakuu,
Bila kuwa na bla blaa kibao, naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu niliyokusudia kuwaletea humu ndani. Ni kuhusu suala la ajira kuwa gumu nchini na kueza waona baadhi ya taasisi nyingi ya kiserikali wakijaribu kupitisha majina ya watu wao katika ajira wakipewa sapoti kubwa kabisa na waziri Ummy mwalimu.
Nachotaka zungumzia hapa ni nia ya serikali kuanzisha kitengo maalum cha kuwapa vijana experience wakiwa makazini, na baadae waajiriwe kama experienced workers sio tena Fresh graduates au freshers makazini. Nakumbuka Tanzania tukawa mfano mzuri katika ule mkutano wa SADC kama nchi iliyoweza pambana na changamoto ya ajira nchini kwa kuanzisha Taasisi mahususi kushughulikia changamoto ya ajira nchini walilolikatia jiana la TaESA. Ni ukweli wahitimu tulishukuru serikali kwa kitendo hicho, vijana wakaanza kazi baadhi taasisi binafsi baadhi Taasisi za kiserikali.
Wengi waliofanya Taasisi binafsi waliweza pata ajira za moja kwa moja sababu wamiliki wa maka;puni hujua adha na gharama ya new training. Tukategemea seikali wakitoa ajira, waanze angalia hawa walioko kwenye mashirika tayari, wakiwa wamedhaminiwa na TaESA, sababu tayari wana experience kwenye field, hivyo tutategemea maendeleo ya Taifa na ukuaji wa sekta za kiserikali.
HIVYO NINI KIMETOKEA
Kuna baadhi ya wenye nchi, wenye ndugu zao majumbani, wanatengeneza namna au loophole ya kuajiri ndugu na marafiki kwenye sekta za serikali. hili tumeliona baada ya Waziri kusema maombi yatumwe. Swali fikirishi? kwanini yatumwe wakati tayari utumishi kuna waliojitolea miaka nenda miaka miaka rudi. Hawa wamepata experience miaka kadhaa kwenye hizi field. Kwanini serikali isiwaangalie, kama wamedhubutu kujitolea kuna haja gani ya serikali kupitia utumishi.
MAONI YANGU
Kwa maoni yangu, bado sakata la ajira ni ngumu na serikali hutumia siasa kunyamazisha kuhusu hili suala au wanaandaa mchakato wa kuajiri ndugu zao. kwa maoni yangu kama kweli wamepania kuajiri, basi watumie TaESA sababu ni umma pia. Na hao Waliojitolea hutuma ripoti zao utumishi, KWANINI SERIKALI WAWE KIGEUGEU? JE, NI SIASA, JE, NI KUJUANA?
NAOMBA KUWASILISHA