Makala: Juma Nature, Sinta walivyozua balaa kwenye uzinduzi wa ‘Ugali’ (TBT)

Makala: Juma Nature, Sinta walivyozua balaa kwenye uzinduzi wa ‘Ugali’ (TBT)

Nature alikuwa na die hard fans ndio maana hadi leo akipiga show bado watu wanahudhuria..

Ila ile video ya mpenzi ya james dandu na sinta [emoji4][emoji4][emoji4] sijui nature alikuwa anajisikiaje akiiangalia
Kumbe
 
Mbona mr nice anadai alikuwa na more than 2 billions ,kwa nyie wahenga hii imekaaje ? Ni kweli aliishi maisha hayo ?
Mtonyo alikuwa nao,nakumbuka nice alikuja kupiga show Dom alikuja na msafara wa magari km 20 HV akiwa ndani ya kibanda wazi(Yale magari yanayofunuka kwa juu) akiwa na wapambe km mia HV halafu wote akawalipia hotel Kali Dodoma hotel
 
Sir kiroboto ni legend.Ni bahati mbaya sana waliokuwa wanafaidika sio wasanii.

Nature wkt anazibdua album yake ya Ugali mafuriko yake yalikua sio ya nchi hii ila at the end of the day aliishia kununuliwa na Fella gari zile benzi'macho ya panzi' ya kutoka S/Africa kama malipo ya album yake na mchezo ukaishia pale.
 
Mtonyo alikuwa nao,nakumbuka nice alikuja kupiga show Dom alikuja na msafara wa magari km 20 HV akiwa ndani ya kibanda wazi(Yale magari yanayofunuka kwa juu) akiwa na wapambe km mia HV halafu wote akawalipia hotel Kali Dodoma hotel
Alikua pia ana udhamini mnono pia wa TBL enzi hizo so mpunga alikua nao.
 
Back
Top Bottom