Makala mnamuonea tu, hoja za Polepole na Gwajima hazijibiki, zinataka system overhaul

Makala mnamuonea tu, hoja za Polepole na Gwajima hazijibiki, zinataka system overhaul

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Unaanzaje kumjibu Pole Pole anayeongea Pole Pole kwa tahadhari na kwa kutumia lugha rahisi ya kidiplomasia namna Ile?

Gwajima unaanzaje kumjibu, maana alichoongea Kiko wazi na ametoa ushauri mzuri kabisa kwa tahadhari kubwa.

Sasa kuliko kuwajibu ukajikuta unatoka nje ya mstari na kuharibu zaidi, ni Bora kukaa kimya.

Sasa zamu ya Kihongosi, ingawa ukweli unabaki kuwa,

"Busara ni kukaa kimya".

Karibuni 🙏
 
Polepole ni kama anawanawa hawa maccm wametulia tuli na tartiiib wataanza kukata miuno ili utamu ukolee.
 
Back
Top Bottom