PreGE2025 Makala wagombea CCM kuanza kuchukua fomu tarehe 28 June, kwahiyo CCM Zanzibar wametengwa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Amos Makala gwiji la siasa na mbobezi wa magonjwa ya M- pox na Ebola amesema wagombea wa CCM wataanza kuchukua fomu tarehe 28 June baada ya raisi kulivunja bunge.

Uku kwetu Zanzibar Raisi Mwinyi atalivunja Baraza la wawakilishi August 13. Kwa maana iyo uchaguzi ndani ya CCM Zanzibar utaanza mwezi wa nane.

Kwa kauli ya Makala CCM wanaenda kuwa na ratiba tofauti za uchaguzi wa ndani Kwa bara na visiwani?

Hii haijawahi kushuudiwa why this year ?
 
Kwani Bunge la Zanzibar bado halijavunjwa? Una uhakika?
 
Amos Makala gwiji la siasa na mbobezi wa magonjwa ya M- pox na Ebola amesema wagombea wa CCM wataanza kuchukua fomu tarehe 28 June baada ya raisi kulivunja bunge.

Uku kwetu Zanzibar Raisi Mwinyi atalivunja Baraza la wawakilishi August 13. Kwa maana iyo uchaguzi ndani ya CCM Zanzibar utaanza mwezi wa nane.

Kwa kauli ya Makala CCM wanaenda kuwa na ratiba tofauti za uchaguzi wa ndani Kwa bara na visiwani?

Hii haijawahi kushuudiwa why this year ?
Jimbo la Zanzibar ni sawa na kata huku bara😎
 
Screenshot_20250625_141708.jpg
 
Back
Top Bottom