Makala ya kijamii na kisheria: Idris aliharibuje ushahidi?

Makala ya kijamii na kisheria: Idris aliharibuje ushahidi?

Mkuu vp wamepewa dhaman??
UPDATES
Mchekeshaji Idris amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na mwenzake Innocent Maiga na kusomewa mashtaka yao

Katika shtaka la kwaza, Idris pekee anatuhumiwa kutumia laini yenye namba 0753 617621 ambayo haijasajiliwa kwa jina lake bali kwa jina la Innocent Maiga

Katika shtaka la pili, Innocent pekee anatuhumiwa kushindwa kuripoti ubadili wa umiliki wa laini hiyo baada ya Idris kuanza kuitumia

Jr[emoji769]
 
Ishu ya raisi alaf unaiita binafsi..kwahyo wewe ukifumaniwa ni ishu yako haiihusu familia yako?

Mwanasheria BINAFSI wa Rais mara nyingine anaweza kuwa pia ni mwanasheria wa familia. Sijaelewa vizuri mantiki ya swali lako.

Inawezekana ndiyo maana hata mashitaka yake yaliyotajwa hakuna hayo ya sijui kumcheka Rais. Ki ukweli, Magufuli kama mtu binafsi ana haki zote za kumshitaki yoyote pale anapoona mtu amemvunjia heshima, ila inabidi afanye hivyo kama mtu binafsi siyo kutumia waendesha mashitaka wa serikali na kutumia mgongo wa Urais.

Ndiyo maana unaona pia hata kina Mdude na wengine wanashitakiwa kwa masuala mengine ingawa wote tunajua yanaweza kuwa politically motivated.

Kiufupi, kaa ukijua kwa mizani ya kisheria nilichokisema kinaweza kuwa na ukweli.
 
Vijana wadogo wakusikilize Mkuu waache sifa za kijinga mtandaoni
 
Soma tena nilichoandika

Jr[emoji769]
Nawewe soma kwanza ulichokiandika mkuu,huenda hata wewe mwenyew hujui ulichokiandika or hujaelewa ulichokiandika...tuliza akili soma kwa makini ulichokiandika mwenyewe then uje ujibu swali langu....idriss aliharibu ushahidi gani,lini ashawahi shtakiwa kwa kuharibu ushahidi??...

Kama kuharibu ushahidi ni kosa kwanini idriss hajawahi shtakiwa kwa kuharibu ushahidi... topic yako inahusu masuala ya kuharibu ushahidi...kwanini jina la idriss kwenye topic yako mtu ambaye hajawahi haribu ushahidi...?
 
Nawewe soma kwanza ulichokiandika mkuu,huenda hata wewe mwenyew hujui ulichokiandika or hujaelewa ulichokiandika...tuliza akili soma kwa makini ulichokiandika mwenyewe then uje ujibu swali langu....idriss aliharibu ushahidi gani,lini ashawahi shtakiwa kwa kuharibu ushahidi??.....Kama kuharibu ushahidi ni kosa kwanini idriss hajawahi shtakiwa kwa kuharibu ushahidi....topic yako inahusu masuala ya kuharibu ushahidi...kwanini jina la idriss kwenye topic yako mtu ambaye hajawahi haribu ushahidi...?
Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano.

Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.

Endelea kufuatilia...

UPDATES
Mchekeshaji Idris amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na mwenzake Innocent Maiga na kusomewa mashtaka yao

Katika shtaka la kwaza, Idris pekee anatuhumiwa kutumia laini yenye namba 0753 617621 ambayo haijasajiliwa kwa jina lake bali kwa jina la Innocent Maiga

Katika shtaka la pili, Innocent pekee anatuhumiwa kushindwa kuripoti ubadili wa umiliki wa laini hiyo baada ya Idris kuanza kuitumia

Jr[emoji769]
 
Nawewe soma kwanza ulichokiandika mkuu,huenda hata wewe mwenyew hujui ulichokiandika or hujaelewa ulichokiandika...tuliza akili soma kwa makini ulichokiandika mwenyewe then uje ujibu swali langu....idriss aliharibu ushahidi gani,lini ashawahi shtakiwa kwa kuharibu ushahidi??.....Kama kuharibu ushahidi ni kosa kwanini idriss hajawahi shtakiwa kwa kuharibu ushahidi....topic yako inahusu masuala ya kuharibu ushahidi...kwanini jina la idriss kwenye topic yako mtu ambaye hajawahi haribu ushahidi...?
Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana - JamiiForums

Jr[emoji769]
 
Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano.

Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.

Endelea kufuatilia...
sasa hapo kosa la kuharibu ushahidi liko wapi kwenye mashtaka ya mahakamani? According to maandishi uliyoweka hapo juu alikuwa anashikiliwa kwa kosa la kuharibu ushahidi,

kama ni kosa kweli kwanini hajapandishwa nalo kizimbani? Kufuta kitu ulichopost mtandaoni or ku edit kitu ulichopost mtandaoni si kuharibu ushahidi na si kosa....
 
Idd baada ya kufanya lile kosa alililoshtakiwa nalo.. Nadhani kuna watu walimshika MASIKIO yake makubwa kwamba afute haraka la sivyo anajiweka matatani... Kwa mwendokasi wa super sonic (sio ya COVID-19) aidha alifuta kabisa ama alihariri maudhui husika ili asalimike kuingia matatani.

Jr[emoji769]
kosa aliloshtakiwa idriss ni kumiliki line ya cm isiyo yake...sasa angalia kama ilo kosa lina connection na ulichoandika kwenye iyo paragraph
 
kosa aliloshtakiwa idriss ni kumiliki line ya cm isiyo yake...sasa angalia kama ilo kosa lina connection na ulichoandika kwenye iyo paragraph

Tatizo huyo jamaa huwa anadandia kila kitu, yan uzi wa leo kaingia cha kike anaishia kurukaruka tu!
 
sasa hapo kosa la kuharibu ushahidi liko wapi kwenye mashtaka ya mahakamani???According to maandishi uliyoweka hapo juu alikuwa anashikiliwa kwa kosa la kuharibu ushahidi,kama ni kosa kweli kwanini hajapandishwa nalo kizimbani...???
Kufuta kitu ulichopost mtandaoni or ku edit kitu ulichopost mtandaoni si kuharibu ushahidi na si kosa....

Back
Top Bottom