mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Ab-Titchaz tafadhali tuwekee makala ya Makau Mutua ya kutoka Sunday Nation ya leo July21st,2013.
Hii makala ni makala nzuri inayoturai kukumbuka na kuepuka migawanyo kwa misingi ya ukabila.Kuna mdau hapa tena ni hivi majuzi nilimpinga aliposema eti vijana wa sasa wa Kenya hawana ukabila na nikamwambia apitie mitandao ya kijamii ili aone hali ya ubaguzi wa kikabila unavyoongezeka kwa vijana wa Kikenya.