idiomer
Member
- Aug 15, 2012
- 53
- 18
Tumetoka mbali sana. Nakumbuka hapo kale tulikuwa tunasoma na vibatari na taa za chemli. Yaani unaweza kugombezwa umesoma ukamaliza mafuta ya taa. Nakumbuka tulikuwa tukipasi nguo na mkaa wa magunzi ya mahindi.
Nakumbuka pipi tofe. Hakika wakati mgumu hutengeza watu imara.
Nakumbuka pipi tofe. Hakika wakati mgumu hutengeza watu imara.