Makala za kisheria: Jinsi ya kujikinga dhidi ya jinai katika maisha ya kila siku

Ipo hivi kuna kijana ni mtumishi wa uma alikuwa anashukiwa kwa wizi, ijapokuwa ushahidi wote uliotolewa polisi ulithibitika hakuhusika, polisi wali amuru kesi hiyo itolewe polisi ipelekwe halmashauri ambako mshukiwa ameajiriwa, wazee wetu mnawajua, wakamshauri na kumlazimisha akubali kulipa yaishe ili asije kurudishwa rumande, kutokana na woga na kutokujuasheria yule kijana alikubali kwakuweka sahihi ya malipo katika barua iliyo andikwa na afisa mmoja pale almashauri, sasa imefika hatua yule kijana ameshindwa kulipa na mdai wake anamsumbua sana, pindi anapopeleka huo ushaidi kwenye kituo chochote nchin yule kijana hukamatwa na kuwekwa ndani popote anapokuwa, sasa amechoka na anateseka, Mimi nilikuwa pamoja nae mwanzo wa hili jambo hadi sasa na niko tayari kusimamia mahakaman kam shahidi wake maana nashuhudia hakika hakutenda ilo tukio sasa yeye ameamua kwenda mahakamani maana mdai wake hataki kwenda, Anaomba msaada kwenu wana JF manguli wa sheria je afanyeje au apitie hatua gani ili kufungua madai yake?
maana anaamini kabisa ushahidi anao wakumvusha kwenye hili jaribuuu!
 
1.well, kwanza hii ni jinai na ilitakiwa polisi kumpeleka mahakamani na kumfungulia shitaka la wizi.
2. Huo mkataba wa makubaliano si halali sababu kisheria mkataba wowote ambao muhusika ameusaini kwa shurti ni batili.
3. Mantiki ya polisi kusema issue irudi halmashauri ni ili iwe solved kiutawala ingawa suala lenyewe ujumla wake ni jinai.

USHAURI.
Sababu suala lenyewe liko katika hatua za kiutawala, asitishe malipo(huo mkataba hautombana kwani ni batili kwa vigezo nilivyovisema), then aende ngazi ya juu kiutawala (mkurugenzi wake) ikifail aende kureport kwa mkuu wa wilaya. Ninaamini kwa ngazi hizo mbili suala lake litaisha.
 
Ahsante sana hiyo ya guest bubu ilikuta sitarudia tena kulala guest za namna hii.
 
Mungu akibariki sana mkuu kwa kushare nasi ulichonacho.... i hope siku moja kitanisaidia mimi au mtu yeyote yule na baraka zote zitakuja kwako
 
inshallah, atubariki sote mkuu.
 
pitieni vitabu hapa mtajikinga kwelikweli Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) • Instagram photos and videos
sheriakwakiswahili
 
Back
Top Bottom