Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Kazi takribani millioni nne kupotea. Ni kilio na kusaga meno. Kwisha kazi yao, Kushobokea wazungu kunazidi kuwaponza.
=====
Makali ya janga la COVID -19 yanazidi kushuhudiwa nchini huku wafanyikazi wengi wakipoteza ajira kila uchao. Hoteli ya Fairmont ndiyo kampuni ya hivi punde kutangaza kuwasimamsha kazi wafanyikazi na kufunga hoteli hiyo kutokana na kupungua kwa biashara. muungano wa sekta ya kibinafsi humu nchini umetabiri kuwa karibu watu milioni nne huenda wakapoteza kazi kutokana na athari za corona.