Salvatory Mkami
Senior Member
- Apr 17, 2013
- 146
- 244
Ungemuelewesha tu , ingetosha kabisa kuliko kutumia hilo neno la ukakasi.Kumbuka wewe ni Senior Member na yeye ni member.Jinga sana we hii ni hoja ya kisiasa!! AU UNSJIFUNZA KUPOST
Wewe mdada siku nyingi sijaona comments zako, mambo vipi lakini?haaaa wanasiana mlivyopanick lol....
wakati wengi wenu ni wapenzi wa chura [emoji23][emoji23][emoji23]
haaa kaka mimi nipo siku hizi naibuka mara moja moja ndio maana huoni comment zanguWewe mdada siku nyingi sijaona comments zako, mambo vipi lakini?
Nakumbukaga wakati ule kwenye jukwaa la Celebrity ilikuwa around 2014.Nimefurahi sana kuona comment yako leo.haaa kaka mimi nipo siku hizi naibuka mara moja moja ndio maana huoni comment zangu
haaaa tulivyokua tunabishana na kutukanana kwenye lile jukwaa.. siwezi kurudia ule ujinga tenaNakumbukaga wakati ule kwenye jukwaa la Celebrity ilikuwa around 2014.Nimefurahi sana kuona comment yako leo.
Hahahaha chura muhimhaaaa wanasiana mlivyopanick lol....
wakati wengi wenu ni wapenzi wa chura [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli sometime nikikumbuka zile ishu nacheka mwenyewe, tulimtesa sana Heaven on Desert .Alijitahidi sana kumrusha Diamond wakati ule na kweli kazi yake imelipa .Ila lile jukwaa kiboko namuona Nifah , Dinazarde wanaendeleza mtanange.haaaa tulivyokua tunabishana na kutukanana kwenye lile jukwaa.. siwezi kurudia ule ujinga tena
nimefurahi pia naikumbuka hiyo avatar yako