Makalio makubwa ni kinga ya kisukari na mgonjwa wa moyo

Makalio makubwa ni kinga ya kisukari na mgonjwa wa moyo

Salvatory Mkami

Senior Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
146
Reaction score
244
Licha ya mvuto yaliyonayo yakiwa kwenye jeans makalio makubwa ya wanawake ni kinga kwa kisukari na magonjwa ya moyo.

Wataalamu wa afya wanadokeza kwamba makalio ni muhimu kwa afya ya binadamu kwani huwezesha kusimama na kutembea vile anavyoonekana. Na cha pekee, hueleza afya ya mtu hasa mwanamke.

Isome Yote hapa Makalio makubwa ni kinga ya kisukari na mgonjwa ya moyo
 
haaaa wanasiana mlivyopanick lol....

wakati wengi wenu ni wapenzi wa chura [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbukaga wakati ule kwenye jukwaa la Celebrity ilikuwa around 2014.Nimefurahi sana kuona comment yako leo.
haaaa tulivyokua tunabishana na kutukanana kwenye lile jukwaa.. siwezi kurudia ule ujinga tena

nimefurahi pia naikumbuka hiyo avatar yako
 
haaaa tulivyokua tunabishana na kutukanana kwenye lile jukwaa.. siwezi kurudia ule ujinga tena

nimefurahi pia naikumbuka hiyo avatar yako
Kweli sometime nikikumbuka zile ishu nacheka mwenyewe, tulimtesa sana Heaven on Desert .Alijitahidi sana kumrusha Diamond wakati ule na kweli kazi yake imelipa .Ila lile jukwaa kiboko namuona Nifah , Dinazarde wanaendeleza mtanange.
 
Wapenda chura wanalalamika ilihali kiuhalisia ndicho kiburudisho chao kikubwa!
 
Back
Top Bottom