LGE2024 Makalla: Chagueni wagombea wa CCM wale wa CHADEMA Mbowe kasema hawana ILANI ni hatari kuwa na kiongozi bila kuwa na Mkataba wa atakufanyia nini

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
 

Attachments

  • 5808629-57f86e47f2e7305376bcccf74fb56df4.mp4
    2.1 MB
  • 5808626-bde51487c15170759ed7838e0c83538c.mp4
    339 KB
Chadema wamejifia maana Viongozi wao wanaweweseka sana
 
Unachokitafuta hapa ni ubishani tu. Hizi mantiki zenu ndizo zinazosababisha CHADEMA kuonekana kama chama kilichokufa. Chama kinaendeshwa kwa ujanja ujanja tu, hakuna ilani inayofuatwa, mnadandia hoja za wengine, na hakuna malengo ya muda mrefu. Hata hivyo, bado mnajiona kama chama kikuu cha upinzani. Hii ni kujidanganya mchana kweupe.

CHADEMA imekufa.
 
Ilani zinawasaidia machawa
Unachokitafuta hapa ni ubishani tu. Hizi mantiki zenu ndizo zinazosababisha CHADEMA kuonekana kama chama kilichokufa. Chama kinaendeshwa kwa ujanja ujanja tu, hakuna ilani inayofuatwa, mnadandia hoja za wengine, na hakuna malengo ya muda mrefu. Hata hivyo, bado mnajiona kama chama kikuu cha upinzani. Hii ni kujidanganya mchana kweupe.

CHADEMA imekufa.
 
Kama mnajadili kifo cha CHADEMA sawa, lakini kama ni kuhusu maendeleo ya Taifa katu sitanyamaza
 
Chadema imedhoofishwa na Polisi, Usalama, na Mahakama, ili kuinusuru Ccm.
 
Badala aseme hiyo ilani yao amekazana kumzungumzia Mbowe,.

Nje ya mada jamaa limefuga kitambi mpaka linashindwa kuzungumza vizuri
 
22 November 2024
Keko Mwanga
Dar es Salaam, Tanzania

MWAKYEMBE AONGEA KAMPENI KEKO MWAGA DSM TAMISEMI 2024

Kata ya Keko Mwanga jijini Dar es Salaam, diwani Jasdeep Singh Bahra CCM na viongozi wa CHADEMA Nyamlinga, wapanda jukwaa moja kero za Keko Magurumbasi, Keko Mwanga, Keko Madawa n.k CCM imeshindwa kumaliza kero za wananchi pamoja yakuwa wana mbunge CCM, diwani CCM, Serikali CCM ... 2024 CUF Mashilingi Shilingi Shilingi achukua fomu uenyekiti wa mtaa wa Keko B waichanganya CCM ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=UhS1fQGzozM
TOKA MAKTABA:


Mwandishi Wetu 2023 Agosti

Diwani Keko afanya ujenzi holela, awakingia kifua wawekezaji wa nje​



Diwani wa Kata ya Keko Mwanga, Jasdeep Singh Bahra, anafanya ujenzi wa ghala la kiwanda cha kutengeza T-shirt bila kuwa na vibali.

Kwa mujibu wa uchunguzi ulifanywa na Morningstar Post, umebaini kuwa diwani huyo amekuwa akiwakingia kifua watu wanaokwenda kinyume na sheria katika kata yake.

Watendaji wa halmashuri ya manispaa temeke walifika kwenye mradi wa ujenzi wa kiwanda hicho hivi karibuni na kukuta ujenzi unaendelea lakini diwani huyo alijitokeza na kuzuia watendaji hao kufanya kazi yao.

Aidha waandishi wa habari hizi pia walifika katika mradi huo na kushuhudia ujenzi unaendelea lakini hakuna vibali vya ujenzi.

Akizungumza na waandishi wa habari kwa njia ya simu diwani huyo alikiri kuwa jengo hilo linalojengwa ni la kwake na amewapangisha wachina wanoendesha kiwanda cha kutengeneza fulana.

Habari zinasema kuwa diwani huyo baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari hizi alikwenda kulalamika kwenye ofisi za manispaa ya temeke kuwa waandishi wa habari wamempigia simu wanataka kumchafua kwa kuandia habari zake.

“Habari ujenzi za mradi huo sio za kweli mimi sifanyi ujenzi bale…hata wale wachina tumegombana sana kwanini wanafanya ujenzi bila kunihusisha”, alisema diwani


View: https://m.youtube.com/watch?v=lRWrW-KKWmwDiwani wa Kata ya Keko Mwanga, Jasdeep Singh Bahra
 
13 November 2024

Diwani Jasdeep Singh Babhra atoa chakula bure shuleni

Jasdeep Singh Babhra diwani wa kata ya Keko katika manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam apongezwa na wakazi wa kata ya Keko kwa juhudi zake za kuwainua kiuchumi, afya pamoja na maswala muhimu ya elimu..

View: https://m.youtube.com/watch?v=Yc3rhI164DA
2024 Kata ya Keko jijini Dar es Salaam, , ... 2024 CUF Mashilingi Shilingi Shilingi achukua fomu uenyekiti wa mtaa wa Keko B waichanganya CCM ... huku CHADEMA wakiwinda mitaa na kamati ujumbe wa serikali kwa kukubalika sana...TEMEKE CHADEMA inasonga mbele kwa kasi mno , Keko Machungwa , Keko Mwanga , Kurasini , Keko Juu mwaka huu 2024 TAMISEMI chama dola kongwe CCM kwisha kazi .
 
ILANI ZA CCM NI LAANA KWA MAENDELEO YA WATZ, HAZINA TIJA MIAKA NENDA RUDI
 
Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…