Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, amesema kuwa pamoja na mafanikio ya miradi mingi ya maendeleo, amepokea pia changamoto kadhaa zikiwemo za barabara, ucheleweshaji wa miradi ya maji, matatizo ya mawasiliano, na kukatika kwa umeme katika Wilaya za Ulanga na Malinyi.
Pia amesema anakiri kupokea changamoto hizo, ikiwemo miundombinu ya barabara, huduma za maji, umeme, pamoja na ombi la kujengwa kwa hospitali ya wilaya ya Ulanga, na amewataka mawaziri wa wizara husika kufika ili kutatua changamoto hizo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Makalla ameeleza hayo leo, Mei 9, wakati akizungumza na wananchi katika Kata ya Lupiro, waliokusanyika kutoka Wilaya mbili za Ulanga na Malinyi, mkoani Morogoro, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku saba mkoani humo.