Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema wamejipanga kuwafikia wananchi kupitia ziara zinazofanywa na viongozi wao ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Makalla amesema hayo leo Jumanne Agosti 6, 2024 katika ziara ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi mkoani Kigoma.
“Viongozi wetu wanafanya ziara, kwa maana hiyo haya ni maandalizi ya CCM kushinda uchaguzi, ni sawa na timu ya mpira, sisi tunafanya usajili timu nyingine zinazurura,”amesema Makalla.