Pre GE2025Makalla: Mabango tuyatoe kwaajili ya kitu gani? Walimualika wenyewe kwenye baraza la wanawake kuonesha Rais Samia ni mwana demokrasia na mzalendo
"Kuna clip moja mimi nimeipata, Rais Samia alipokuwa madarakani Lissu alisema Rais Samia amebadilisha upepo wa siasa, nilikuwa na kesi 6 za hovyo hovyo zimefutwa na mama anafanya kazi nzuri. Sasa leo anasema mambo yote hayajafanyika, leo anahoji nani alimwalikwa kwenye baraza la wanawake la CHADEMA! Yeye ni Makamu Mwenyekiti, kiongozi mkubwa kabisa, mtu hawezi kujialika, kwahiyo walimualika wenyewe.
"Na walimualika kuonesha Rais Samia ni mwana demokrasia, mzalendo, anaipedna nchi yake, angependa amani na utulivu, kwahiyo wakathibitisha kwamba huyu ni mtu mzuri tumualike kuwaonesha wananchi, shida iko wapi kuwa na picha? Mabango tuyatoe kwaajili ya kitu gani? Mabango hayo kwani hayo mambo yanafanyika kwa gizani? Yanatoka matamko kutoka kwa Mbowe, Tundu Lissu, kila mmoja amemfurahia Samia, leo tumepiga picha anataka picha zitoke kwani kulikuwa na jambo la siri? Suala sio matangazo ni kuthibitisha dhamira nzuri ya Rais."- Amesema Amos Makalla akijibu kuhusu suala la Lissu kutaka picha zake ziondolewa kwenye mabango yaliyomhusisha na Rias Samia

Huyo jamaa awe na data kabla hajaropoka asifikirie yupo kwenye majukwaa ya muziki wa dansi!! Arusha lile bango la samia na Chadema baada tu ya Nduruma juzi wamelitoa!!
Uchu wa madaraka na mihemeko ya uharakati ya Viongozi wa CHADEMA una wa cost sana WANACHADEMA, na hatimaye Nchi nzima kwa jinsi wanavyojenga mazingira ya Uhasama.
Madhara yake tumeyaona na yanakuwa wazi kila kukicha. Ile Never Never again ilikuwa na maana gani-pana?
"Kuna clip moja mimi nimeipata, Rais Samia alipokuwa madarakani Lissu alisema Rais Samia amebadilisha upepo wa siasa, nilikuwa na kesi 6 za hovyo hovyo zimefutwa na mama anafanya kazi nzuri. Sasa leo anasema mambo yote hayajafanyika, leo anahoji nani alimwalikwa kwenye baraza la wanawake la CHADEMA! Yeye ni Makamu Mwenyekiti, kiongozi mkubwa kabisa, mtu hawezi kujialika, kwahiyo walimualika wenyewe.
"Na walimualika kuonesha Rais Samia ni mwana demokrasia, mzalendo, anaipedna nchi yake, angependa amani na utulivu, kwahiyo wakathibitisha kwamba huyu ni mtu mzuri tumualike kuwaonesha wananchi, shida iko wapi kuwa na picha? Mabango tuyatoe kwaajili ya kitu gani? Mabango hayo kwani hayo mambo yanafanyika kwa gizani? Yanatoka matamko kutoka kwa Mbowe, Tundu Lissu, kila mmoja amemfurahia Samia, leo tumepiga picha anataka picha zitoke kwani kulikuwa na jambo la siri? Suala sio matangazo ni kuthibitisha dhamira nzuri ya Rais."- Amesema Amos Makalla akijibu kuhusu suala la Lissu kutaka picha zake ziondolewa kwenye mabango yaliyomhusisha na Rias Samia
Lissu mtakija kumkumbuka .
KI A imeuzwa, bandari zinauzwa, madini yanauzwa, viwanja vya ndege vinauzwa,misitu inauzwa, SGR itauzwa.
Huku bara tutakuja kubaki walalahoi.
Hapo ndipi mtajuta.
Ccm wanaishi kama nchi sio Yao na hawafikiri next generation itaishije.