PreGE2025 Makalla: Nikiangalia Vyama vya Upinzani ni kama havipo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameyasema hayo, leo, Aprili 13, 2025, Lindi Mjini, katika mkutano wa hadhara, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku 10 katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Makalla amewaeleza kuwa kwa sababu huwakejeri wanapokwenda kwao wasitoe mchango wanapowaomba.
Aidha, amesema udhaifu wa vyama vya upinzani, ni ushindi mkubwa wa CCM kwa sababu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chenyewe hakitoshiriki Uchaguzi Mkuu, CUF ni kama hawapo, huku ACT Wazalendo wakiendelea kuisha.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla“Wenzetu wamepima, wameangalia kazi zilizofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, wakapima na wameona ushindi hawana wameamua kupumzika.

“CHADEMA hawatakuwapo kwenye uchaguzi wamepumzika. Sisi tunaamini udhaifu wa CHADEMA na vyama vingine ni ushindi mkubwa wa CCM. Nikiangalia vyama vya upinzani ni kama havipo,” anasema.

Makalla amesema CHADEMA wamepima na kuona kazi zilizofanywa na Rais Samia wameamua kupumzika.
 
Nikimwangalia jamaa ni kama mgonjwa,Au ule mwili ni wa kawaida

Watu wamshauri kiafya hayuko sawa huyo katibu

Ziara anazofanya zaweza mletea tatozo la presha ,Ule mwili sijui kama yupo sawa jamaa

Anajitoa ufahamu kwa ule mwili wake ilibidi awekeze kwenye afya yake sana sio mambo ya uchaguzii

Mtu anaongea huku anahema kwa taabu sana sana,Angalieni akiwa jukwaani anahema kwa taabu sana ,

Jamaa yupo overweight huyo katibu,

Wana ccm mliopo humu mwambieni ukweli huyo katibu
 
umekosea ulitakiwa uanze na CPA maqkala
ili afanane kidogo na mainjinia au madokta wa binadamu.
 
Sema mnajua mnaongoza watu aina Gani ndo maana mnaweza kuwachezea akili mnavotaka.mashetani wakubwa
 
Angalao hata CCM ya awamu ya 4 walikuwa wanajibu hoja kwa hoja hii ya sasa haina hata viongozi ndio maana inategemea Mapolisi.
 
Nikimwangalia jamaa ni kama mgonjwa,Au ule mwili ni wa kawaida

Watu wamshauri kiafya hayuko sawa huyo katibu

Ziara anazofanya zaweza mletea tatozo la presha ,Ule mwili sijui kama yupo sawa jamaa

Anajitoa ufahamu kwa ule mwili wake ilibidi awekeze kwenye afya yake sana sio mambo ya uchaguzii

Mtu anaongea huku anahema kwa taabu sana sana,Angalieni akiwa jukwaani anahema kwa taabu sana ,

Jamaa yupo overweight huyo katibu,

Wana ccm mliopo humu mwambieni ukweli huyo katibu

Kilicho dhahiri, makala ni mgonjwa wa akili.
 
CPU Makala mbona hauna akili kama CPU maana hii CPA tunajua kanjunga cheti. Achana na CHADEMA fanya siasa zako.
 
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameyasema hayo, leo, Aprili 13, 2025, Lindi Mjini, katika mkutano wa hadhara, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku 10 katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Makalla amewaeleza kuwa kwa sababu huwakejeri wanapokwenda kwao wasitoe mchango wanapowaomba.
Aidha, amesema udhaifu wa vyama vya upinzani, ni ushindi mkubwa wa CCM kwa sababu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chenyewe hakitoshiriki Uchaguzi Mkuu, CUF ni kama hawapo, huku ACT Wazalendo wakiendelea kuisha.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla“Wenzetu wamepima, wameangalia kazi zilizofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, wakapima na wameona ushindi hawana wameamua kupumzika.

“CHADEMA hawatakuwapo kwenye uchaguzi wamepumzika. Sisi tunaamini udhaifu wa CHADEMA na vyama vingine ni ushindi mkubwa wa CCM. Nikiangalia vyama vya upinzani ni kama havipo,” anasema.

Makalla amesema CHADEMA wamepima na kuona kazi zilizofanywa na Rais Samia wameamua kupumzika.
Tonetone na uchaguzi wamekombia.Ni dili Fulani hivi la kudhamiria kuuwa chama
 
Nikimwangalia jamaa ni kama mgonjwa,Au ule mwili ni wa kawaida

Watu wamshauri kiafya hayuko sawa huyo katibu

Ziara anazofanya zaweza mletea tatozo la presha ,Ule mwili sijui kama yupo sawa jamaa

Anajitoa ufahamu kwa ule mwili wake ilibidi awekeze kwenye afya yake sana sio mambo ya uchaguzii

Mtu anaongea huku anahema kwa taabu sana sana,Angalieni akiwa jukwaani anahema kwa taabu sana ,

Jamaa yupo overweight huyo katibu,

Wana ccm mliopo humu mwambieni ukweli huyo katibu
Asipoitaja chadema hapati usingizi
 
Hii Tanzania ina wagonjwa wengi, wagonjwa wakubwa ni CUF, AC wazalendo na Chauma, viongozi wa vyama hivi zimo kweli? Toka 1992 upinzani una una kanyagwa bado hamsikii, tume za kina nyalali , warioba zimetoa mapendekezo kuhusu muundo wa tume, bado kwa ujasiri na uchu wa vyeo ambavyo hamtapata mnaenda kusign maadili fake mshiriki uchaguzi? Mkisikia kondoo ni hawa.
 
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameyasema hayo, leo, Aprili 13, 2025, Lindi Mjini, katika mkutano wa hadhara, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku 10 katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Makalla amewaeleza kuwa kwa sababu huwakejeri wanapokwenda kwao wasitoe mchango wanapowaomba.
Aidha, amesema udhaifu wa vyama vya upinzani, ni ushindi mkubwa wa CCM kwa sababu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chenyewe hakitoshiriki Uchaguzi Mkuu, CUF ni kama hawapo, huku ACT Wazalendo wakiendelea kuisha.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla“Wenzetu wamepima, wameangalia kazi zilizofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, wakapima na wameona ushindi hawana wameamua kupumzika.

“CHADEMA hawatakuwapo kwenye uchaguzi wamepumzika. Sisi tunaamini udhaifu wa CHADEMA na vyama vingine ni ushindi mkubwa wa CCM. Nikiangalia vyama vya upinzani ni kama havipo,” anasema.

Makalla amesema CHADEMA wamepima na kuona kazi zilizofanywa na Rais Samia wameamua kupumzika.
Mbona mmeomna poo kwa maporiccm kama nyie vidume???
 
Yahusu virusi vya EBOLA na MPOX
 
Nchini Tanzania kuna Makundi Matatu (3) ya Vyama vya Siasa, makundi hayo ni:-

1. Vyama Tawala.
Kwa Sasa kipo kimoja tu, yaani CCM. CCM inatawala nchi hii ikiwa Chama pekee, haijaingia Mseto na Chama kingine chocolate kile Cha Siasa ili kuunda Serikali.

2. Vyama vya Upinzani.
Hivi ni Vyma mbadala ambavyo vinakinzana na Chama Tawala kwa kutumia nguvu za hoja, hoja za nguvu, ushawishi wake katika jamii, n.k. Mainly, Vyama hivi vinalenga hasa masuala ya HAKI na Demokrasia.

3. Vyama Mamluki.
Hivi ni Mkusanyiko wa Vyama ambavyo Vinamilikiwa na Chama Tawala kilichopo Madarakani. Kazi yake kuu ni kufanya Siasa za Geresha, Maigizo, hadaa na Ghiriba ili kuhujumu harakati halali za Kupigania HAKI na Demokrasia katika nchi. Vyama hivi ni Kama vile 'Undercover Agents,' wanaofanya kazi chini ya Mwavuli wa Siasa, lakini nyuma ya pazia vinaifanyia kazi Utawala uliopo na Chama Tawala.
 
Back
Top Bottom