Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Nikimwangalia jamaa ni kama mgonjwa,Au ule mwili ni wa kawaidaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameyasema hayo, leo, Aprili 13, 2025, Lindi Mjini, katika mkutano wa hadhara, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku 10 katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Makalla amewaeleza kuwa kwa sababu huwakejeri wanapokwenda kwao wasitoe mchango wanapowaomba.
Aidha, amesema udhaifu wa vyama vya upinzani, ni ushindi mkubwa wa CCM kwa sababu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chenyewe hakitoshiriki Uchaguzi Mkuu, CUF ni kama hawapo, huku ACT Wazalendo wakiendelea kuisha.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla“Wenzetu wamepima, wameangalia kazi zilizofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, wakapima na wameona ushindi hawana wameamua kupumzika.
“CHADEMA hawatakuwapo kwenye uchaguzi wamepumzika. Sisi tunaamini udhaifu wa CHADEMA na vyama vingine ni ushindi mkubwa wa CCM. Nikiangalia vyama vya upinzani ni kama havipo,” anasema.
Makalla amesema CHADEMA wamepima na kuona kazi zilizofanywa na Rais Samia wameamua kupumzika.
Nikimwangalia jamaa ni kama mgonjwa,Au ule mwili ni wa kawaida
Watu wamshauri kiafya hayuko sawa huyo katibu
Ziara anazofanya zaweza mletea tatozo la presha ,Ule mwili sijui kama yupo sawa jamaa
Anajitoa ufahamu kwa ule mwili wake ilibidi awekeze kwenye afya yake sana sio mambo ya uchaguzii
Mtu anaongea huku anahema kwa taabu sana sana,Angalieni akiwa jukwaani anahema kwa taabu sana ,
Jamaa yupo overweight huyo katibu,
Wana ccm mliopo humu mwambieni ukweli huyo katibu
Tonetone na uchaguzi wamekombia.Ni dili Fulani hivi la kudhamiria kuuwa chamaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameyasema hayo, leo, Aprili 13, 2025, Lindi Mjini, katika mkutano wa hadhara, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku 10 katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Makalla amewaeleza kuwa kwa sababu huwakejeri wanapokwenda kwao wasitoe mchango wanapowaomba.
Aidha, amesema udhaifu wa vyama vya upinzani, ni ushindi mkubwa wa CCM kwa sababu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chenyewe hakitoshiriki Uchaguzi Mkuu, CUF ni kama hawapo, huku ACT Wazalendo wakiendelea kuisha.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla“Wenzetu wamepima, wameangalia kazi zilizofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, wakapima na wameona ushindi hawana wameamua kupumzika.
“CHADEMA hawatakuwapo kwenye uchaguzi wamepumzika. Sisi tunaamini udhaifu wa CHADEMA na vyama vingine ni ushindi mkubwa wa CCM. Nikiangalia vyama vya upinzani ni kama havipo,” anasema.
Makalla amesema CHADEMA wamepima na kuona kazi zilizofanywa na Rais Samia wameamua kupumzika.
Asipoitaja chadema hapati usingiziNikimwangalia jamaa ni kama mgonjwa,Au ule mwili ni wa kawaida
Watu wamshauri kiafya hayuko sawa huyo katibu
Ziara anazofanya zaweza mletea tatozo la presha ,Ule mwili sijui kama yupo sawa jamaa
Anajitoa ufahamu kwa ule mwili wake ilibidi awekeze kwenye afya yake sana sio mambo ya uchaguzii
Mtu anaongea huku anahema kwa taabu sana sana,Angalieni akiwa jukwaani anahema kwa taabu sana ,
Jamaa yupo overweight huyo katibu,
Wana ccm mliopo humu mwambieni ukweli huyo katibu
Mbona mmeomna poo kwa maporiccm kama nyie vidume???CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameyasema hayo, leo, Aprili 13, 2025, Lindi Mjini, katika mkutano wa hadhara, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku 10 katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Makalla amewaeleza kuwa kwa sababu huwakejeri wanapokwenda kwao wasitoe mchango wanapowaomba.
Aidha, amesema udhaifu wa vyama vya upinzani, ni ushindi mkubwa wa CCM kwa sababu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chenyewe hakitoshiriki Uchaguzi Mkuu, CUF ni kama hawapo, huku ACT Wazalendo wakiendelea kuisha.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla“Wenzetu wamepima, wameangalia kazi zilizofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, wakapima na wameona ushindi hawana wameamua kupumzika.
“CHADEMA hawatakuwapo kwenye uchaguzi wamepumzika. Sisi tunaamini udhaifu wa CHADEMA na vyama vingine ni ushindi mkubwa wa CCM. Nikiangalia vyama vya upinzani ni kama havipo,” anasema.
Makalla amesema CHADEMA wamepima na kuona kazi zilizofanywa na Rais Samia wameamua kupumzika.
Yahusu virusi vya EBOLA na MPOXCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameyasema hayo, leo, Aprili 13, 2025, Lindi Mjini, katika mkutano wa hadhara, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku 10 katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Makalla amewaeleza kuwa kwa sababu huwakejeri wanapokwenda kwao wasitoe mchango wanapowaomba.
Aidha, amesema udhaifu wa vyama vya upinzani, ni ushindi mkubwa wa CCM kwa sababu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chenyewe hakitoshiriki Uchaguzi Mkuu, CUF ni kama hawapo, huku ACT Wazalendo wakiendelea kuisha.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla“Wenzetu wamepima, wameangalia kazi zilizofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, wakapima na wameona ushindi hawana wameamua kupumzika.
“CHADEMA hawatakuwapo kwenye uchaguzi wamepumzika. Sisi tunaamini udhaifu wa CHADEMA na vyama vingine ni ushindi mkubwa wa CCM. Nikiangalia vyama vya upinzani ni kama havipo,” anasema.
Makalla amesema CHADEMA wamepima na kuona kazi zilizofanywa na Rais Samia wameamua kupumzika.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri.