The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Akiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mollel Papaa, wilayani Babati, mkoani Manyara leo, Jumatano Juni 04.2025 Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla amesema fulamu ya 'The Royal Tour' iliyofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa chachu ya kuchochea na kukomboa sekta ya utalii kwenye mikoa ya Kanda ya Kaskazini mwa Tanzania
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025