Vipi mbona hakuna mwendelezo wa ile sinema?Huyu aliyepigwa kwa maagizo ya Lissu na Heche?
Ile ilikuwa comedy ya ccm!!Vipi mbona hakuna mwendelezo wa ile sinema?
CCM imejaa comedians wengi sana kuanzia kinara wao!Ile ilikuwa comedy ya ccm!!
Sasa ulitaka kila siku umuone CPA Makalla anampa pole Sigrada Mligo? We una akili timamu kweli?Vipi mbona hakuna mwendelezo wa ile sinema?
Wee Mwehu tunataka atueleze maendeleo ya mgonjwa kwa sababu yeye ndiye aliyechukuwa jukumu la kusimamia matibabu yake!Sasa ulitaka kila siku umuone CPA Makalla anampa pole Sigrada Mligo? We una akili timamu kweli?
Kwani siku ile ya kwanza yeye ndio alitoa taarifa ya maendeleo ya mgongwa?Wee Mwehu tunataka atueleze maendeleo ya mgonjwa kwa sababu yeye ndiye aliyechukuwa jukumu la kusimamia matibabu yake!
Wewe ni 🐷Kwani siku ile ya kwanza yeye ndio alitoa taarifa ya maendeleo ya mgongwa?
Au hujui kuwa taarifa za maendeleo ya mgongwa zinatolewa na hospitali inayomtibu mgonjwa? Sasa nenda pale hospitali kapate taarifa dogo. Umesikia?
Chadema vijana wa kujenga hoja waliisha. Mmebaki nyumbu!Wewe ni 🐷
CHECHEME NI MATAPELI NA MAJIZIVipi mbona hakuna mwendelezo wa ile sinema?