- Thread starter
- #21
🐕🐕🐕Chadema vijana wa kujenga hoja waliisha. Mmebaki nyumbu!
🐕🐕🐕Chadema vijana wa kujenga hoja waliisha. Mmebaki nyumbu!
Hata Yericko Nyerere aje auambie Umma mana ndio walikua wakunzwa kulaumu chama kutotoa pole vipi mgonjwa wenu anaendeleaje hapo Dodoma au amerudi njombe tayari?Kwanza nakupa pongezi kwa moyo wako wa huruma kwa hatua ulizochukua za kumsafirisha Katibu Mwenezi wa BAWACHA Sigrada Mligo kwenda kupata matibabu ya kibingwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma.
Itakumbukwa Sigrada Mligo alipigwa na mlinzi binafsi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche katika mkutano wa ndani hapo Makambako na kupelekea kupoteza fahamu. Sigrada Mligo alilazwa katika hospitali ya Ilembula mkoani Njombe.
Sasa tungependa kufahamu je hali yake inaendeleaje? Kwa mara ya mwisho ulionekana ukimtakia hali hapo hospitalini.
Ndiye huyo aliyepewa rufaa na Mzee wa Mpox na Ebola kwenda Benjamin Mkapa referral hospital Dodoma kwa ajili ya matibabu ya kibingwa baada ya kula mkong'oto wa haja na mlinzi binafsi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Heche!Huyu aliyepigwa kwa maagizo ya Lissu na Heche?
Ungejibu aliko mgonjwa. Tunasubiri mkuuSasa ulitaka kila siku umuone CPA Makalla anampa pole Sigrada Mligo? We una akili timamu kweli?
Ile sinema ya kizee ya mzee wa Ebola na M-pox ilibuma mapema mno😂 Huko ccm inaonekana kuna tatizo la vijana, ndio maana mnaruhusu wazee waigize michezo kwa mbinu za karne iliyopita.Huyu aliyepigwa kwa maagizo ya Lissu na Heche?