Makalla tuambie hivi Sigrada Mligo anaendeleaje na matibabu?

Hata Yericko Nyerere aje auambie Umma mana ndio walikua wakunzwa kulaumu chama kutotoa pole vipi mgonjwa wenu anaendeleaje hapo Dodoma au amerudi njombe tayari?
 
Huyu aliyepigwa kwa maagizo ya Lissu na Heche?
Ndiye huyo aliyepewa rufaa na Mzee wa Mpox na Ebola kwenda Benjamin Mkapa referral hospital Dodoma kwa ajili ya matibabu ya kibingwa baada ya kula mkong'oto wa haja na mlinzi binafsi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Heche!
 
Huyu aliyepigwa kwa maagizo ya Lissu na Heche?
Ile sinema ya kizee ya mzee wa Ebola na M-pox ilibuma mapema mnoπŸ˜‚ Huko ccm inaonekana kuna tatizo la vijana, ndio maana mnaruhusu wazee waigize michezo kwa mbinu za karne iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…