PreGE2025 Makalla: Tumepokea ushauri lakini CCM hatuna mgogoro na CHADEMA, Jaji Warioba akasuluhishe mgogoro wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CCM paka nchi iungue ndo wanakaa mezani, sijuhi uwa wakoje. Sishabikii chadema lakini ifike mahali watu waongee
 
Eti hao ndio think tank huko CCM na Taifa hili.

Dah, tuna safari ndefu Sana.
 
zee la hovyo sana linajiona

zee la hovyo sana ili mashavu kuvimba
 
CHADEMA hawana mgogoro na mtu yeyote, sio CCM au serikali au Rais au wao chadema wenyewe. CHADEMA wanachotaka ni fair katika uchaguzi tu. Hakuna kitu kibaya katika maisha zaidi ya kufanyiwa ubaya makusudi, na wanaofanya wanajua kuwa wanafanya ubaya lakini hawaogopi kwa sababu wanajua hata wakionwa hawafanyiwi lolote. Kitendo cha kuwakata wagombea wao, kuhujumu kura zao bila uwoga ndio kinachowakatisha tamaa na kujikuta wanakuja na mbinu za no reform no election.
 
Kwa watu wenye hekima na kutambua uwezo na mchango wa mzee Warioba ....huyu makalla alikuwa atolewe hapo haraka. Wazee wapo kuliponya Taifa yeye anakuja na kejeli?. SAMIA ni failed kabisa na vilaza wake.
 
Wamwache Mzee warioba,isije kuwa wanamwingiza mtegoni abatizwe kwa vipigo kama padri alivyofanywa
 
Alivyo na sura nzito sasa
Sura personal kabisa
 
Huyu Makala kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele ndivyo anavyozidi kudhihirisha kiwango chake cha uendawazimu
 
Kuna watu wananufaika na mgogoro wa CCM na CHADEMA ndiyo maana hawataki kabisa usuluhishwe. ili kumharibia mama kisayansi.
 
CCM ni wataalamu wa kujizima data, yaani kuahirisha kufikiri kizalendo

CCM wanatumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa kuongoza nchi ambao ni mfumo kandamizi unao ruhusu wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), kwasasa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Baada ya uharibifu, sasa kidogo akili zinaanza kuwarudia hawa wajinga.

At least they are talking some senses...

All in all, terms and conditions za kukutana kuzungumza ni hizi:

1. Rais na serikali yake imwachie mwenyekiti wetu Tundu Lissu huru bila masharti yoyote with immediate effect kwa kuwa hana kosa lolote..

2. Rais na serikali awaachie wafungwa wa kisiasa wote huko walikowafucha kwenye magereza yasiyo rasmi: Soka, Chaula, Mdude Nyagali na wengine...

3. Rais na serikali iseme wazi nani walimteka na kumuua mzee Ally Kibao? Ripoti ya kamati aliyouunda kuchunguza tukio hili iko wapi na ina nini ndani yake?

4. Rais Samia achukue hatua za haraka na za makusudi kuwafuta kazi with immediate effect wafuatao

➡Mkurugenzi wa idara ya usalama taifa TISS
➡Mwanasheria Mkuu wa Serikali
➡Mwendesha mashitaka wa serikali DPP
➡Waziri wa mambo ya ndani Bashungwa
➡RC Mkoa wa DSM Bwana Albert Chalamila..
➡IGP Bwana Wambura...
➡RPC kanda maalumu DSM Jumanne Muliro..
➡RCO mkoa wa DSM...
➡RC mkoa wa Mbeya Bwana Homera
➡RCO mkoa wa Mbeya

##Hawa ndio chanzo cha vurugu ktk nchi. Hawa ndio hawakutakii mema Bi Chura Kiziwi. Hawa ndio vinara wa hujuma kwa nchi na taifa hili...

##Ukifanya haya, tunaweza kukaa na kuzungumza genuinely kwa kukubaliana kwa uwazi kabisa kila mwananchi akiona juu ya hadidu reje za mazungumzo haya ya upatanisho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…