PreGE2025 Makalla: Tumepokea ushauri lakini CCM hatuna mgogoro na CHADEMA, Jaji Warioba akasuluhishe mgogoro wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jamani mmesikia anavyoongea kwa dharau. Yaani huyu mkaka hajawahi kuongea kitu nikamwelewa.

Eti chizi anamfundisha kiongozi wa dini jinsi ya kufanya kazi yake.

Huyu atasababosa wavaa nguo za kijani wakipita barabarani wale fimbo.
 
UKIONA NENO TUNAMUHESHIMU AU NAKUHESHIM LINAJIRUDIA KATIKA MAELEZO PIGIA MSTARI KIUKWELI SIASA ZETU ZINAPASWA KUWA ZA MSHIKAMANO NA SIO VISASI.
 
Makalq ndo nani?
AI see nimeamini mfumo wa babeli unawapa watu kiburi
 
Muulizeni kuhusu prevalence ya corona na m pox ilitosambazwa na chadema. Ukiwa ccm akili zinahama
 
Imeingia sikio la kulia imetokea la kushoto
sikio la kufa huwa alisikii dawa
 
Muulizeni kuhusu prevalence ya corona na m pox ilitosambazwa na chadema. Ukiwa ccm akili zinahama
Ndugu ninamshangaa.

Huyu ni sifuri kabisa. Anajitahodi kuandaa mchemsho wa kuku lakini hata CCM wenyewe hawajamuunga mkono.

Sijui yule binti wa chadema walimalizana vipi na yale maumivu hospitalini..

Bi mkubwa mpige chini. Weka watu wanaojua nyakati. Achana na hawa vijana wanaowaza sifa na kushindana na akina Zuchu, Diamond nk.

Mama kama uko humu ushauri kidogo tu jaribu kuminya upande wa wasanii wasiachwe holela. Tabia zao zinaharibu vijana wetu na watoto. Msanii anafanyakazi na kuongea kama msanii lakini vijana au watoto wanachukulia ni kweli yanafanyika nchi.

Serikali iwe makini na hawa wasiwaponze. Shida zote mlizobeba kwenye chama mmewatanguliza wasanii mbele kuliko wenye taaluma za kujenga hoja na kujibu hoja.

Mfano Makonda ni mtu wa sifa sana anapaniki , akishindwa hoja anakimbilia dola na kutoa matamko bila kujua kuna sheria na katiba na kanuni zake. Mahakama imeundwa kwa ajili ya kuadhibu na kutoa haki sio polisi.

Yaani katiba yake ni dola na kutoa amri kwa dolla kiwe kizuri au kinachozungumzika na wakaelewana. Hapo anafanya vurugu na amefanyiwa vurugu ana haki kikatiba.

Viongozi wa chama wawe na uwezo wa kuijua katiba sheria na kanuni zake za chama na jamuhuri ya muungano.

Fujo zote hizi zimekuja kwa sababu mnaweka watu au viongozi ambao hawajui katiba, sheria wala kanuni hata mlizotunga wenyewe.

Asante. Ila hili la wasanii liangaliwe upya kwa jicho pevu na kusoma nyakati. Tuendako ubaba utapotea.

Wapinzani wanasimama vizuri kwenye sheria na katiba na wanaijua vizuri ndiyo maana wakijenga hoja inajieleza yenyewe.
 
Cheo ni dhamana hawa watu wanamwambia Jaji Warioba akasuruhishe mgogoro Chadema kama vile ni mtu wa rika lake aisee..
 
Mtu akikuambia nakuheshimu sana,ujue kakuchoka.Hata Makonda alichoshwa na huyu Mzee.
 
Kauli ya Makala ni kauli ya sisiemu?

Je sisiemu kwa sasa kiko kwenye mikono ya wahuni?

Mtu mmoja aliwahi kusema "kuna wastaafu wanawashwa washwa"

End of the day nini kilitokea?
 
Hivi huyu alisema virusi vya Ebola na Epoxy vinauzwa nchi gani vile?

Maabara ipi vile?

Mtu akiwa malaya, mtu akiwa mwizi, mtu akiwa ameshiba hudhani na wenzake wote wako hivyo kama yeye alivyo.

Sisiemu inaonekana mambo ya sumu na umafia kwao ni jadi yao?
Dr Ally Juma makamu wa rais,
Sokoine Moringe,
Kambona,
philip Mahinga,
Amina Chifupa.
Kijazi,
Mfungale,
William Mgimwa,
Seif Mohamed khatib,
Mohamed Raza
Mr White Turuki,
BWM
Deo Firikujombe
JPM
Jk
Edo
 
Hizi akili ndii zinafanya tuwe hapa tulipo.
 
Isije kuwa mtu akisha vaa sare ndio anapungukiwa na akili hivyo.

Dah! Dharau zisizopimika
Zile nguo ni shida sana, Msigwa alipokua Chadema alijiita Chama Kikuu cha Upinzani, alivyohamia tu ssm akageuka na kusema, chama kikuu cha upinzani ni act
 
Kwa hiyo vile vikao hadi chadema wakasusia vilikuwa vinafanywa na ACT. Huyu CPA gani anashindwa kuwa muungwana. Wahasibu hawapo hivyo
 
Makala yupo sahihi. Chadema haina ishu na CCM, ina ishu na serikali iliyopo madarakani. Wao ndio wanaihujumu Chadema. Kama kuna mkono wa CCM ndani ya serikali, hilo ni jambo jingine kabisa!
 
Vichwa mviringo na macho ya namna hiyo hawajawahi kuwa na akili hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…