Pre GE2025 Makalla: Tundu Lissu amesema Rais Samia amegawa Pikipiki nchi nzima, Lissu ajue Samia ni Mwenyekiti wa CCM na huo ndio Uimara wa Chama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake

Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla

Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema

Nawatakieni Dominica Njema 😀
 
kwani zile pikipiki za ccm kila matawi zilikuwa na huduma za uber au
 
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake

Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla

Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema

Nawatakieni Dominica Njema 😀
Ajibu amezitoa wapi? Makala hana uwezo wa kumjibu Lissu
 
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake

Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla

Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema

Nawatakieni Dominica Njema 😀
Angeongezea hapo,kwamba wakati mwenyekiti wa ccm anatoa msaada yeye anakusanya misaada Toka Kwa wahitaji!

Kuomba michango ya gari ni kosa la kiufundi na limerudisha nyuma dhana ya uzalendo,uzalendo ni kutoa sio kukusanya angejifunza Kwa mwenyekiti wa CCM!
 
Hoja ya Lissu ni Fedha za Pikipiki 800 kila Mkoa hizo Fedha huyo Mama kazitoa wapi?!

Makala badala ya kujibu hoja anasema Maelfu ya CHADEMA wamehamia Chama Cha Wezi.
 
Kwani nyie Chadema fedha za Kununua magari mapya Kwa ajili ya M4C pesa mlitoa wapi?
 
Halafu Makalla aambiwe, yawezekana hajui kwamba, kuwa mwenezi haimaanishi azunguruke nchi nzima kama pia anaweza kutumia media kimkakati na akafanikiwa pakubwa.
 
Wanagawia wapi na mimi nipate yangu jamani. Nipeni mchongo
 
Back
Top Bottom