OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwanza sio Lissu, ni Mheshimiwa Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe ni mwalimu, ndiyo wenye upeo finyu namna hii. CCM kazi yao ni kuhonga vitu visivyo na maana wakati wenyewe na watoto wao wanakula cream ya taifa. Hivi Samia anaweza kumnunulia Abdul pikipiki? Anawaona nyie ni kama ma-kima tu ndiyo maana anawapa pikipiki ili zikavunje miguu mbele ya safari. Mpaka siku mje kuzinduka mtakuta mmechelewa sana.Angeongezea hapo,kwamba wakati mwenyekiti wa ccm anatoa msaada yeye anakusanya misaada Toka Kwa wahitaji!
Kuomba michango ya gari ni kosa la kiufundi na limerudisha nyuma dhana ya uzalendo,uzalendo ni kutoa sio kukusanya angejifunza Kwa mwenyekiti wa CCM!
👏👏👏Dah kwa mwenezi tumefeli!
Mkuu kumekuuuucha!!Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla
Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema
View attachment 3012722
Nawatakieni Dominica Njema 😀
Mkuu kumekuuuuchaMwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla
Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema
View attachment 3012722
Nawatakieni Dominica Njema 😀
🤣 🤣 🤣Angeongezea hapo,kwamba wakati mwenyekiti wa ccm anatoa msaada yeye anakusanya misaada Toka Kwa wahitaji!
Kuomba michango ya gari ni kosa la kiufundi na limerudisha nyuma dhana ya uzalendo,uzalendo ni kutoa sio kukusanya angejifunza Kwa mwenyekiti wa CCM!
🤣 🤣 🤣CCTV camera ziliondolewa na Kalemani kabla ya Abdul kuwasili
Kasema ni za CCMAjibu amezitoa wapi? Makala hana uwezo wa kumjibu Lissu
Unafikiri mi ni mjinga hivyo!!?namsifu anaetaka sofa namkosoa anaetaka maarifa!makada wenzangu wanapenda sofa na Mimi nawasifu ivoivo hata kama wamekosea nawasifu TU!Kweli wewe ni mwalimu, ndiyo wenye upeo finyu namna hii. CCM kazi yao ni kuhonga vitu visivyo na maana wakati wenyewe na watoto wao wanakula cream ya taifa. Hivi Samia anaweza kumnunulia Abdul pikipiki? Anawaona nyie ni kama ma-kima tu ndiyo maana anawapa pikipiki ili zikavunje miguu mbele ya safari. Mpaka siku mje kuzinduka mtakuta mmechelewa sana.
Nimekuelewa!Unafikiri mi ni mjinga hivyo!!?namsifu anaetaka sofa namkosoa anaetaka maarifa!makada wenzangu wanapenda sofa na Mimi nawasifu ivoivo hata kama wamekosea nawasifu TU!
Kuna ugonjwa uliingia miaka mingi unaitwa sifaiosis yaani kupenda sofa na Mimi nasifu coz maoni mbadala yanapigwa rungu we huoni Malisa!!?
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla
Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema
View attachment 3012722
Nawatakieni Dominica Njema 😀
Makala ,ungemshauri agawe ajira ili hayo mapikipiki wanunue wenyewe Kwa mishahara yao ingewasaidia sana!Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla
Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema
View attachment 3012722
Nawatakieni Dominica Njema 😀
Ngoja tena tumuwekee Makala hii Clip ajue HOJA ya Lissu ilipo.
View: https://youtu.be/F_1dK5xxeRs?si=1wr3dckMxBjShv6B
Kiboko ya Wasiojulikana hao😁Sema hao jamaa nyuma ya Lissu wapo serious sana aisee, inaonekana ni watu haswa 😃
Jamaa hata kwa macho tu unawaona ni watu haswaKiboko ya Wasiojulikana hao😁
😂Dah kwa mwenezi tumefeli!
Lissu lazima alindwe kwa udi na uvumba.Jamaa hata kwa macho tu unawaona ni watu haswa
We bwana watakulaje hela za chama. Huku mipqngo yote ya rushwa inafanyika.Halafu Makalla aambiwe, yawezekana hajui kwamba, kuwa mwenezi haimaanishi azunguruke nchi nzima kama pia anaweza kutumia media kimkakati na akafanikiwa pakubwa.
Wenda huyu naye ana matatizo why samia kama mwenyekiti wa ccm Gawa pikipiki na sio chama Gawa pikipiki ?Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla
Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema
View attachment 3012722
Nawatakieni Dominica Njema 😀
Hajaeleza rushwaMwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla
Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema
View attachment 3012722
Nawatakieni Dominica Njema 😀
Huyu wala hapendezei cheo hiki.Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake