johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
kwani zile pikipiki za ccm kila matawi zilikuwa na huduma za uber auMwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla
Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema
Nawatakieni Dominica Njema π
Ajibu amezitoa wapi? Makala hana uwezo wa kumjibu LissuMwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla
Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema
Nawatakieni Dominica Njema π
Nakubaliana na weweMakala ni mpumbavu, binafsi simuelewi katika ustawi wa chama huyu ni bogus empty set.
Kitu kinachoweza kumsaidia katika wadhifa wake ni uropokaji wa mapema wa Lissu kukosa timing.
Maelfu mnahamia CCM πAjibu amezitoa wapi? Makala hana uwezo wa kumjibu Lissu
Angeongezea hapo,kwamba wakati mwenyekiti wa ccm anatoa msaada yeye anakusanya misaada Toka Kwa wahitaji!Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM, amesisitiza Makalla
Makalla amesema katika mikutano ya Katibu mkuu Dr Nchimbi wataendelea kupokea maelfu ya Wanachama Kutoka Chadema
Nawatakieni Dominica Njema π
Lisu ana ushahidi wa CCTV camera? πΌNa Abdul kupeleka rushwa nyumbani kwa Lisu. Je, ni uimara ama udhaifu wa ccm?
Makalla...jibu (in Makinda"s voice).
CCTV camera ziliondolewa na Kalemani kabla ya Abdul kuwasiliLisu ana ushahidi wa CCTV camera? πΌ
Bila shaka ni kutokana na uwezo mdogo wa akili. Anajibu asichoulizwa.Hoja ya Lissu ni Fedha za Pikipiki 800 kila Mkoa hizo Fedha huyo Mama kazitoa wapi?!
Makala badala ya kujibu hoja anasema Maelfu ya CHADEMA wamehamia Chama Cha Wezi.
ππππBila shaka ni kutokana na uwezo mdogo wa akili. Anajibu asichoulizwa.
Kwani nyie Chadema fedha za Kununua magari mapya Kwa ajili ya M4C pesa mlitoa wapi?Hoja ya Lissu ni Fedha za Pikipiki 800 kila Mkoa hizo Fedha huyo Mama kazitoa wapi?!
Makala badala ya kujibu hoja anasema Maelfu ya CHADEMA wamehamia Chama Cha Wezi.
Ruzuku.Kwani nyie Chadema fedha za Kununua magari mapya Kwa ajili ya M4C pesa mlitoa wapi?
Ngoja tena tumuwekee Makala hii Clip ajue HOJA ya Lissu ilipo.Bila shaka ni kutokana na uwezo mdogo wa akili. Anajibu asichoulizwa.