Pre GE2025 Makalla: Tundu Lissu amesema Rais Samia amegawa Pikipiki nchi nzima, Lissu ajue Samia ni Mwenyekiti wa CCM na huo ndio Uimara wa Chama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kweli wewe ni mwalimu, ndiyo wenye upeo finyu namna hii. CCM kazi yao ni kuhonga vitu visivyo na maana wakati wenyewe na watoto wao wanakula cream ya taifa. Hivi Samia anaweza kumnunulia Abdul pikipiki? Anawaona nyie ni kama ma-kima tu ndiyo maana anawapa pikipiki ili zikavunje miguu mbele ya safari. Mpaka siku mje kuzinduka mtakuta mmechelewa sana.
 
Mkuu kumekuuuucha!!
 
Mkuu kumekuuuucha
🀣 🀣 🀣
 
Ajibu amezitoa wapi? Makala hana uwezo wa kumjibu Lissu
Kasema ni za CCM

Limetumika jina la Samia kama hela ya bajeti inapoenda Halmashauri wanasema Samia katoa hela za kujenga hospitali.

Ni utaratibu wa CCM chamani, serikalini na kwenye jamii. Ndivyo walivyo.
 
Unafikiri mi ni mjinga hivyo!!?namsifu anaetaka sofa namkosoa anaetaka maarifa!makada wenzangu wanapenda sofa na Mimi nawasifu ivoivo hata kama wamekosea nawasifu TU!

Kuna ugonjwa uliingia miaka mingi unaitwa sifaiosis yaani kupenda sofa na Mimi nasifu coz maoni mbadala yanapigwa rungu we huoni Malisa!!?
 
Nimekuelewa!
 
Kwanini agawe Samia na sio chama chake
Lengo ni Kutangaza chama au Samia

Hio hela ni ya chama au ya Samia
 
Makala ,ungemshauri agawe ajira ili hayo mapikipiki wanunue wenyewe Kwa mishahara yao ingewasaidia sana!
 
Halafu Makalla aambiwe, yawezekana hajui kwamba, kuwa mwenezi haimaanishi azunguruke nchi nzima kama pia anaweza kutumia media kimkakati na akafanikiwa pakubwa.
We bwana watakulaje hela za chama. Huku mipqngo yote ya rushwa inafanyika.

Jamaa sasa hivi wanakusanya hela ili watu wafikiriwe kwenye nafasi za uongozi.
 
Wenda huyu naye ana matatizo why samia kama mwenyekiti wa ccm Gawa pikipiki na sio chama Gawa pikipiki ?

So SSH yupo juu ya chama sio chama kipo juu SSH, ccm wakiitwa wajinga wanachukia, ukweli ni wajinga , yani mwenyekiti wa chama anagawa pikipiki na picha yake badala nembo ya chama

Ccm mmerogwa na lichama lenu limekufa kifo cha mende .

Hivi Makala ndo wa kuongea ujinga huu kweli SSH amegawa pikipiki kwa kuwa ni mwenyekiti na sio chama , ushauri wangu

Binafsi napenda siasa za ushindani ccm cheo cha makala mpeni mzee wa vituko Chalamila .

Huyu bwana ni mtu wa vituko ila anaweza faa nafasi hii , huyu kwake huwalisha hata ngedele , mpeni nafasi hii kwa mda angalau ila 2025 uchaguzi ukifanyika ccm hamtoboi asema Bwana na ccm ilishafutiliwa mbali kiutawala ,lazimisheni muone
 
Hajaeleza rushwa
 
Huyu wala hapendezei cheo hiki.
Atawanyima kura nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…