Makalla: Tutafunga screen kwenye mikoa ili watu wafuatilie uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

Mh. kwani wanaogombea cheo hicho wapo wangapi? na kura zitapigwa lini tujue mshindi.
 
Hii ndiyo CCM chama kubwa la Afrika sio wale waropokaji kila siku wanadai posho kwenye mikutano yao
Anayepigiwa kura hajulikani hadi leo, zidumu fikra za mwenyekiti na wengine ni manyumbu tu waweka mihuri
 
Shughulikieni changamoto za wananchi hilo ndiyo la muhimu , haya mambo mengine sijui screen kubwa ni upuuzi mtupu.
 
Wakati wa kufunga hizo screen akumbushwe pia, wanapotapanya Kodi na mali za wananchi pia mamilioni ya vijana hawapati elimu bora huko mashuleni, lakini pia mamilioni ya vijana hawana ajira mtaani, madarasa hayana madawati, majengo ya shule hayatoshi na yaliyopo vijijini huko hali mbaya.

Wanapokula na kusaza hapo dodoma wakumbushwe pia huduma za Afya maeneo mengi ya nchi ni duni na watanzania wanaishi kwa hofu maana mahospitali hayakidhi haja matokeo yake watu wanakufa hovyo hovyo kabla ya siku zao.
 
Nchi ina hali mbaya sana....what is so special?...
Anyway....kila mtu ashinde mechi zake hapa duniani
 
Hatutaki screen ya nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…