Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayepigiwa kura hajulikani hadi leo, zidumu fikra za mwenyekiti na wengine ni manyumbu tu waweka mihuriHii ndiyo CCM chama kubwa la Afrika sio wale waropokaji kila siku wanadai posho kwenye mikutano yao
Hatutaki screen ya nnSasa kumekucha CCM wanajambo lao!
Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana