CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Amesema kwenye kipindi cha kampeni hakuna kulala Wana CCM wapambane watafute kura ili kukiwezesha Chama cha Mapinduzi kushinda kwa kishindo kwani Uchaguzi huu hakuna ile kushinda bila kupingwa japo kuwa kuna Mitaa ,Vijiji na Vitongoji wenzetu hawajaweka watu.
"Pamoja na kwamba kuna dalili za wenzentu kutosimamisha wagombea kwenye maeneo mbalimbali itakapotea naomba niongee na wana CCM wa Kinondoni na Nchi nzima kwamba Uchaguzi huu hauna kupita bila kupingwa msibweteke kwani mmesikia Chama fulani kimesema kitahakikisha hata kama CCM ndo wameteuliwa tutawapigia kampeni ya kupigiwa kura ya hapana."