LGE2024 Makalla: Uchaguzi huu ni mgumu tusibweteke kumbukeni hakuna kupita bila kupingwa tena

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Yaani watu wajiandikishe kushiriki huu upuuzi uitwao uchaguzi?
 
Kwenye mgombea mmoja ambapo itapigwa kura za ndiyo na hapana kutakuwa na wakala wa mgombea wa chama husika tu au vyama vingine visivyokuwa na wagombea vitaruhusiwa pia kuweka mawakala? Maana kama kutakuwa na wakala wa chama chenye mgombea tu wananchi tutaamini vipi usahihi wa kura za ndiyo alizopata mgombea pekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…