Pre GE2025 Makalla: Uchaguzi Mkuu utakuwa Huru, Haki, Wazi. CHADEMA, ACT, CUF, TLP rukeni sarakasi zote ila kumbukeni hatuna mbadala wa Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 2977972
Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa,

Mhe Amos Makalla, amesema chama Cha Mapinduzi CCM kitakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza kwa vitendo haki, usawa na wajibu.

Nia ya CCM Tanzania kuwa na uchaguzi ulio huru, wa haki na wenye kuaminika.

Ndg Makalla alimwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.

Amevikumbusha vyombo vya habari kuwa na vyama vya Siasa kuwa , pamoja na kuandika habari zao kwa uhuru, vinapaswa kutambua umuhimu wa kulinda amani na usalama wa nchi.​

Mhe Makalla amesisitiiza kuwa kama Taifa hatuna Mbdala wa Mama Tanzania.
Mlipotufikisha hatuna cha kupoteza hata kugawana mbao sawa tu! Kwani tuna nini tena raslimali zote kwishney
  • Bandari zote imeenda iyo
  • Mbuga za wanyama zote - immeenda iyo
  • Misitu yote - immeenda iyo
  • Ardhi yote imeenda iyo
 
Sasa kama mnaanzisha chama na kinaongozwa na familia Moja kwa miongo mitatu,

Kweli mnazo akili?
Mbona CCM mke wa Rais mstaafu Mbunge na mtoto wake Waziri. Zanzibar mtoto wa Mwinyi Rais na wawili wabunge , na mtoto wa Karume naye akawa Rais wa Zanzibar. Acha kufuatilia nyumba za wenzako wakati kwako pa hivyo.
 
Hata CCM ilisajiliwa 1992 Leo Ina Wenyeviti wastaafu 5, CHADEMA mmoja tu
Acha uongo, CCM hajawahi kusajiliwa 1992. Halafu CHADEMA Ina wenyeviti wastaafu wawili. Pia acha kulinganisha CHADEMA ya mwaka 1992 na CCM ya 1977. Ya 1992 wenyeviti wawili na ya 1977 wenyeviti watano.
 
Unajua historia vizuri?
 
Makalla acha fix, uchaguzi huru na haki CCM haiwezi kupata hata wabunge 10.

TOKA MWAKA 1995 CCM IMEKUWA IKIIBA KURA NA KUHARIBU UCHAGUZI, HILI LIPO WAZI KABISA
 
View attachment 2977972
Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa,

Mhe Amos Makalla, amesema chama Cha Mapinduzi CCM kitakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza kwa vitendo haki, usawa na wajibu.

Nia ya CCM Tanzania kuwa na uchaguzi ulio huru, wa haki na wenye kuaminika.

Ndg Makalla alimwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.

Amevikumbusha vyombo vya habari kuwa na vyama vya Siasa kuwa , pamoja na kuandika habari zao kwa uhuru, vinapaswa kutambua umuhimu wa kulinda amani na usalama wa nchi.​

Mhe Makalla amesisitiiza kuwa kama Taifa hatuna Mbdala wa Mama Tanzania.

Haya maCCM hayanna akili kabisa. Sasa hapa anakili kuwa huko nyuma hakukuwa na uchaguzi wa huru na wa haki... au anajaribu kutupa ujumbe gani.

Kwa sasa wanasema hayo ila wakiona matokeo ya uchaguzi yanawaendea kombo wanabadilisha gia.
 
Kupiga kura hatuendi ila kwenye matokeo tunataka watu wetu washinde.

Kazi kwelikweli
 
Makalla acha fix, uchaguzi huru na haki CCM haiwezi kupata hata wabunge 10.

TOKA MWAKA 1995 CCM IMEKUWA IKIIBA KURA NA KUHARIBU UCHAGUZI, HILI LIPO WAZI KABISA
Tatizo uwezo wenu ni mdogo sana, ndio maana Kila kitu mnakwama
 
Back
Top Bottom