Pre GE2025 Makalla: Wafungwa chini ya miezi sita (6) watapiga kura Uchaguzi Mkuu

Pre GE2025 Makalla: Wafungwa chini ya miezi sita (6) watapiga kura Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kila siku huwa tunasema kuwa CCM ndiyo tume ya uchaguzi, na tume ya uchaguzi ni iliyopo ni geresha tu. Kila kitu kinapangwa kutolewa ufanunuzi na CCM. Bila shaka hili la wafungwa kupiga kura ni mkakati wa kuweka vituo feki vya kuongeza kura za CCM
Upo sahihi kabisa vituo ambavyo havina mawakala unategemea nini? Umuachie Pakome Goli bila kipa utegemee Akukose. Yaani mimi uchaguzi wa bongo umenitumbukia nyongo ya kabisa.
 
Back
Top Bottom