Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kuwatambulisha kwa Wanachama Wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 katika maadhimisho ya miaka 48 ya Chama hicho February 05,2025, uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Taarifa ya kuelekea maadhimisho hayo iimetolewa na Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa,Itikadi,Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla ambapo amesema sherehe hizo zitakuwa na matukio mbalimbali ikiwemo hilo la utambulisho.
Ikumbukwe hivi karibuni Mkutano Mkuu Maalum wa Chama hicho wa January 18 na 19,2025 ulipitisha majina ya Dkt. Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea Urais na Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ule upuuzi waliofanya Dodoma mwezi uliopita utawatafuna sana, huku Kanda ya Ziwa wanaccm wamefura sana lazima itatokea shida kubwa.JK kawaingiza chaka nene sana tena lenye miba.
Unajua vitu vingine inabidi mtu uwe huna akili tu ili maisha yaende. Ukitaka kutumia akili utaishia magonjwa ya moyo na sonona.
Kwenye mkutano mkuu walishateuliwa na wakatangazwa kwa wanachama na jumuia ya kitanzania yote, sifa zikamwagwa na pongezi zikatolewa sasa wanataka kuwatambulisha kiaje tena? Kuwatambulisha kwamba kuna mtu hamjui Dr Samia humu Tanzania?
Yani ndio vitu tunavipa kipaumbele kweli hivi? Of all the shit we have?

Hawa wajinga hawana mawazo yoyote ya kutatua changamoto lukuki zinazolikabili taifa hili wao wanachowaza ni uchaguzi na wizi wa kura, ni majitu ha hovyo kabisa yaani walistahili kuishi zama za mawe.
Katika siku za hivi karibuni, Kijiji cha Itumbi, kilichopo katika Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, kimekumbwa na matukio ya kuhuzunisha na ya kutisha. Majambazi wenye silaha wamevamia kijiji hicho, na hali hii imepelekea wananchi kuishi kwa hofu na wasi wasi mkubwa. Wakati wa uvamizi huo...
kinatarajia kuwatambulisha kwa Wanachama Wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025