urais tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kutaka kuwa Rais Tanzania inaonekana dhambi kubwa sana ?

    Kuanzia Nyerere mpaka awamu hii, chama cha CCM, watawala na raia wengi huwa wanawachukulia kwa mtazamo hasi sana watu wanaoutuka urais wa Tanzania. Kwa nini inaonekana ni vibaya kuutaka urais wa Tanzania wakati wowote ule ikiwa tunasema hii ni nchi ya kidemokrasia na kila mtu ana haki ya kuwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kunje achukua fomu ya urais Tanzania

    Mgombea Urais kupitia chama cha wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwilu, amesema kuwa chama hicho kitajikita katika kuhamasisha uzalendo pamoja na Amani ya nchi. Kunje ameyasema hayo baada ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais Katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu Aidha...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Namna Rais anavyopatikana Kikatiba pasipo nguvu ya vyombo vya dola na Msajili wa Vyama vya siasa

    Kikatiba, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hupatikana kwa mujibu wa Ibara ya 33 ya Katiba ya Tanzania. Kwa sasa, Samia Suluhu Hassan alichukua madaraka kwa mujibu wa katiba baada ya nafasi hiyo kuwa wazi, jambo ambalo ni halali na lina msingi wa kisheria, siyo wa kiroho wala wa hisia...
  4. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli ya Bashe, Tunapaswa kutilia shaka Mamlaka ya Urais Tanzania-Kumbe inaweza hata kupotoshwa

    Kwa Kauli ya Bashe kuna haja ya kuona sasa Mamlaka ya Urais pia inafaa kutiliwa shaka kwenye decisons zake na kwamba sio sehemu salama sana kwenye kuamua HATMA ya Resources za Taifa kwa kuwa it can even be decieved: What a shame ! ni kauli inayokwenda ku raise question on integrity of...
  5. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Msemaji wa Serikali kuweka sawa kauli ya Rais Samia kuhusu kuheshimu imani ya kila mtu nchini

    Kufuatia Kauli ya Rais wa JMT, kuwaambia baadhi ya waumini wa Kikristo kuwa Utumishi wao ni wa KISHETANI- je Presidential Department ime compromise intergrity na Misingi ya Taasisi hiyo kuwa inaheshimu Imani zote? Kutumia CHEO na Platform za kidini kujustify UOVU .... sidhan kama ni mila na...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Wagombea Urais Tanzania na Zanzibar kutambulishwa Februari 5

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kuwatambulisha kwa Wanachama Wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 katika maadhimisho ya miaka 48 ya Chama hicho February 05,2025, uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Taarifa...
  7. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenye Ndoto za Kugombea Urais Tanzania anzeni kupiga mahesabu ya mwaka 2040, Baada ya Samia anafuata Dkt. Nchimbi labda mambo yaharibike njian

    Habari ndio hiyo Samia kumpendekeza Emanuel Nchimbi kuwa makamu wake haijaja kwa bahati mbaya. Mipango imeshapangwa na imepangika vyema.
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maswali tisa ya umuhimu na ya Msingi ya Kuwauliza Wagombea Urais Tanzania

    Uchaguzi mkuu ni fursa muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoongoza nchi kwa kipindi fulani. Katika kipindi hiki cha kampeni, wananchi wanapaswa kutumia fursa hii kuwauliza wagombea maswali magumu ili kupata uelewa wa kina kuhusu sera zao na maono yao ya kuongoza nchi. Andiko hili...
  9. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM: Mapendekezo ya Mdahalo kwa Wagombea Urais Tanzania

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kuimarisha mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania. Moja ya njia bora ya kufanya hivyo ni kwa kuandaa mdahalo wa wagombea urais kutoka vyama vyote vya siasa, ambao utawapa fursa wagombea kujieleza kwa uhuru bila kuwakilishwa na chama chao...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwani urais Tanzania unatokea kama zari? Kwa nini mtu akijiandaa nao anaonekana amekosea sana! Which is which, zai ka la jpm au kuniandaa?

    Hii tamadani inayojijenga tanzania siyo nzuri kabisa. Mtu akijiandaa kwa mda mrefu kwa ajiri ya urais ataundiwa zengwe mpaka ataonekana ni jambazi. Ninachofahamu mimi kila position huwa ina maamdalizi kwa anayetaka siyo kumlazimisha kama alivyolazimishwa jpm. Na ndo mana uongozi wake kulikuwa...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?

    Bila kujali misimamo yetu ya kisiasa, kidini, kirangi wala ya kikabila tuliyonayo na tunayoiishi Kwa pamoja leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake. Leo...
  12. Bams

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu nafasi ya Urais ndani ya CCM: Kinana amedanganya, na kwa vyovyote hana dhamira njema

    Kinana amesema uwongo kuwa eti CCM imekuwa na utaratibu wa kutoruhusu kuwepo na ushindani ndani ya CCM wa kumpata mgombea wa chama kwenye kiti cha Urais pale ambapo Rais aliyepo madarakani hajamaliza vipindi viwili vya Urais wake. Amesema hayo akimlenga Rais wa Sasa. Uwongo wa Kinana upo katika...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa & Kinana washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025

    Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili. My Take Utaratibu wa fomu Moja alianzisha Mwendazake ======= Mbunge wa Ruangwa (CCM), Kassim Majaliwa amesema...
Back
Top Bottom