Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kuanzia Nyerere mpaka awamu hii, chama cha CCM, watawala na raia wengi huwa wanawachukulia kwa mtazamo hasi sana watu wanaoutuka urais wa Tanzania.
Kwa nini inaonekana ni vibaya kuutaka urais wa Tanzania wakati wowote ule ikiwa tunasema hii ni nchi ya kidemokrasia na kila mtu ana haki ya kuwa kiongozi?
Kwa nini iwe nongwa mtu akionyesha nia ya kuutaka urais ?