Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mgombea Urais kupitia chama cha wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwilu, amesema kuwa chama hicho kitajikita katika kuhamasisha uzalendo pamoja na Amani ya nchi.
Kunje ameyasema hayo baada ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais Katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu
Aidha ameongeza kuwa katika kauli mbiu yao ya serikali ya mchakamchaka, wanaamini mihimili yote mitatu ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama inahitaji uzalendo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mgombea huyo aliwasili katika ofisi za INEC saa 9 na dakika 20 alasiri akiambatana na mgombea mwenza Chumu Ali.