GE2025 Kunje achukua fomu ya urais Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mgombea Urais kupitia chama cha wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwilu, amesema kuwa chama hicho kitajikita katika kuhamasisha uzalendo pamoja na Amani ya nchi.

Kunje ameyasema hayo baada ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais Katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu

Aidha ameongeza kuwa katika kauli mbiu yao ya serikali ya mchakamchaka, wanaamini mihimili yote mitatu ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama inahitaji uzalendo.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mgombea huyo aliwasili katika ofisi za INEC saa 9 na dakika 20 alasiri akiambatana na mgombea mwenza Chumu Ali.

Hivi sifa ya kuanzisha chama inakuwaje na huwa wanavuta kiasi gani kwa ajili ya uchaguzi na lazima ufanye kampeni inchi nzima
 
Uwe na Wanachama 100 bara na visiwani.

Kampeni sio lazima lkn NI lazima ufungue kampeni
 
Mgombea Urais kupitia chama cha wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwilu, amesema kuwa chama hicho kitajikita katika kuhamasisha uzalendo pamoja na Amani ya nchi.

Kunje ameyasema hayo baada ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais Katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu

Aidha ameongeza kuwa katika kauli mbiu yao ya serikali ya mchakamchaka, wanaamini mihimili yote mitatu ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama inahitaji uzalendo.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mgombea huyo aliwasili katika ofisi za INEC saa 9 na dakika 20 alasiri akiambatana na mgombea mwenza Chumu Ali.

Huyu babake Gombale Mwiru,aliwahi mkuu wa mkoa
 
Hivi sifa ya kuanzisha chama inakuwaje na huwa wanavuta kiasi gani kwa ajili ya uchaguzi na lazima ufanye kampeni inchi nzima
Toeni taratibu na mimi nianzishe chama wakuu 🤕 , Maana inaonekana inahitaji mtaji kidogo sana 🙌
 
Back
Top Bottom