Kuna haja ya Msemaji wa Serikali kuweka sawa kauli ya Rais Samia kuhusu kuheshimu imani ya kila mtu nchini

Kuna haja ya Msemaji wa Serikali kuweka sawa kauli ya Rais Samia kuhusu kuheshimu imani ya kila mtu nchini

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Kufuatia Kauli ya Rais wa JMT, kuwaambia baadhi ya waumini wa Kikristo kuwa Utumishi wao ni wa KISHETANI- je Presidential Department ime compromise intergrity na Misingi ya Taasisi hiyo kuwa inaheshimu Imani zote?

Kutumia CHEO na Platform za kidini kujustify UOVU .... sidhan kama ni mila na desturi za Mtanzania- sijui hili kwa Zanzibar maana kule ZNZ kuna heshima ndogo sana dhidi ya imani za wengine ndio maana utakuta kuna watu wanachapwa kwa kula Ramadhani.

Imani ni kitu personal sana! Kwa Mfano kwenye Uislam kuna vita vya Huud, Badr etc etc ....waislam waliua sana Makafiri hadi wakawa wanasaidiwa na malaika kukata shingo Makafiri- with that bloodbath and killings , waislam
Waliamini wapo kwenye njia sahihi na wanaamini hivyo hadi sasa na kuwa wanaenda pepon kwa kufanya hivyo-Hii ni imani na itabaki kuwa personal na itabidi tuheshimu even tho kwa wengine, it doesn't make sense .

Kuna Haja ya Msemaji wa Serikali kuliweka sawa KAULI iliyotolewa na Rais dhidi ya baadhi ya waumini wa kikristo na kwamba hakuna mwenye haki ya kuita imani ya mwingine ni USHETANI-
kufanya hivyo hasa kwenye mamlaka ya Urais ni kuonesha tumekosa CONTROL kama taifa.

TZ tunaimani zote- islam, Xtian, atheist, budha, hindusim, Mizimu , fremason, etc etc na kwa pamoja tunapaswa kuheshimiana.

Kati ya anaekemea Udhalimu na anaefanya Udhalim - ni nani anamtumikia SHETANI kwa tafsirî’ya Ushetani ni kufanya mambo mabaya.?

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ottawa
 
Hii umewahi kutokea pia hapa mbagala mwaka Fulani kwamba waislamu waliandamana Kwa vurugu mkubwa lakini misikiti haikufungwa hata kidogo Sasa hili lime tustua kidogo kwakweli tuache watu wamwabudu mungu ni hatari watu wakiacha kuabudu INAWEZA ikazalisha watu waovu saana na nchi yetu ikawa na watu wasio na huruma ya na hofu ya mungu . Tutajuwa tumeingia nyakati ngumu saana.
 
Ila ukristu na wakristu ni upole na uvumilivu ndivyo hufanya kuishi hivyohivyo na wengine wasio na mambo hayo.Sijui ingekuwaje iwapo wale wa dini ya Tao au Budha wangeitwa ni wa shetani na vitabu vyao kukojolewa!
NB;Tuheshimu sana Imani za wengine na tudhibiti hisia hasi,hasira au ulevi wa hali yoyote.
 
Kwani kumtumikia shetani ni kosa kwa mujibu wa sheria za nchi yetu?
 
Dreva anaendeshwa na mihemuko ya kidini, hatari ya kupokonywa ugali na presha ya kupanda. Hakuna jambo anaweza potezea hata haya kitoto.
 
Kuna haja ya Msemaji wa Serikali kuweka sawa kauli ya Rais Samia kuhusu kuheshimu imani ya kila mtu nchini
Hivi kati ya msemaji wa serikali na rais ni yupi ana mamlaka zaidi?
Msemaji hawezi kumpinga bosi wake.

Nadhani kauli ya rais ni ya mwisho.
Kwa hiyo inabidi kukubali tu kuwa alichosema ndiyo msimamo wake na serikali yake
 
Mwanamke mahala pake ni jikoni tu. Ndiyo maana mtume Paulo alikataza Wanawake kuhutubia
 
Kufuatia Kauli ya Rais wa JMT, kuwaambia baadhi ya waumini wa Kikristo kuwa Utumishi wao ni wa KISHETANI- je Presidential Department ime compromise intergrity na Misingi ya Taasisi hiyo kuwa inaheshimu Imani zote?

Kutumia CHEO na Platform za kidini kujustify UOVU .... sidhan kama ni mila na desturi za Mtanzania- sijui hili kwa Zanzibar maana kule ZNZ kuna heshima ndogo sana dhidi ya imani za wengine ndio maana utakuta kuna watu wanachapwa kwa kula Ramadhani.

Imani ni kitu personal sana! Kwa Mfano kwenye Uislam kuna vita vya Huud, Badr etc etc ....waislam waliua sana Makafiri hadi wakawa wanasaidiwa na malaika kukata shingo Makafiri- with that bloodbath and killings , waislam
Waliamini wapo kwenye njia sahihi na wanaamini hivyo hadi sasa na kuwa wanaenda pepon kwa kufanya hivyo-Hii ni imani na itabaki kuwa personal na itabidi tuheshimu even tho kwa wengine, it doesn't make sense .

Kuna Haja ya Msemaji wa Serikali kuliweka sawa KAULI iliyotolewa na Rais dhidi ya baadhi ya waumini wa kikristo na kwamba hakuna mwenye haki ya kuita imani ya mwingine ni USHETANI-
kufanya hivyo hasa kwenye mamlaka ya Urais ni kuonesha tumekosa CONTROL kama taifa.

TZ tunaimani zote- islam, Xtian, atheist, budha, hindusim, Mizimu , fremason, etc etc na kwa pamoja tunapaswa kuheshimiana.

Kati ya anaekemea Udhalimu na anaefanya Udhalim - ni nani anamtumikia SHETANI kwa tafsirî’ya Ushetani ni kufanya mambo mabaya.?

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
Canada
Rue 52, Ottawa
Watamwekea maneno mdomoni mpaka lini? She’s an idiot. Acha dunia imuone clearly jinsi alivyo, bila chenga!
 
Nakumbuka Mzee Ruksa aliliona hili mapema akaweka Wazi kupitia RUKSA kula nguruwe ,chura ,nyoka kilamtu akae na Imani yake

Mama Abdul anatupeleka sipo kichwa kimevimba aache kuchezea Imani za watu
 
Uongozi ni hekima na busara

Huyu mama ni shida kwelikweli

Hata wanaompigania, watafika wamechoka kwelikweli

Katika uropo - uropo wake wote aliowahi kufanya nyuma, huu wa Juzi kanisani AMECHEMKA BIG TIME!

Hakupaswa kutoa kauli ile asilani.

Wanaoabudu miti, ng'ombe, Majini (Yeye aliombewa Juzi na mashekhe kwa kutumia majini) tusemeje sasa?

Watanzania mnataka muone ushahidi upi zaidi Ili tutambue kuwa tunaongozwa na Rais mwabudu majini, mashetani?
 
Back
Top Bottom